Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,831
- 5,489
Kuna wanawake walikuwa na nguvu bwana.
Achana na akina Wema Sepetu.
Achana na akina Mobeto.
Yaani hawa walikuwa wanamuamrisha rais nini cha kufanya.
Unajua CIA walikuwa makini sana kwenye hili, waliona huyu mwanamke anaweza kuleta songombino, wakaamua kumkausha.
Hebu subiri. Msije kusema Mhaya alisema walimkausha, ninachokisema ni kwamba kifo chake kilikuwa na utata mkubwa.
Sasa watu wakafuatilia, mwisho wakasema hapana bwana, hapa CIA wanehusika kumsindikiza kaburini
Aiseeee.
Wewe mwanamke unatoka na rais, unampa utamu woooote, halafu ule unaobaki unakwenda kumpa mdogo wake. Yaani familia ilikuwa inapiga hii manzi. Na alikuwa pini haswaaaaa.
Wanasema hakuna manzi alikuwa mkali kama huyu. Kuanzia sura, chuchu, kiuno, tumbo mpaka mgongo. Ukimshika anashikika, ukimvita anavutika, na hakuwa blow jobless.
Rais na mdogo wake wakachanganyikiwa. Ndiyo.
Kwanza miaka hiyo ukiwa unakula hii manzi tu, wewe masta, tena masta kweli. Si nilishawahi kutoa makala hapa, alipotoka, alipokuwepo na hata kifo chake cha utata.
Marilyn Monroe alikuwa anapiga simu ikulu usiku, yaani wakati John F. Kennedy amelala na mkewe, simu ya chumbani inaita, halafu mke akipokea, anaambiwa mpe mumeo. Can You Imagine?
Sasa why alipotezwa?
Rais alionekana kama mbumbumbu kwa Monroe, yaani mpaka siri nyeti alikuwa anampa manzi, halafu hapohapo Cuba walikuwa naye beneti kishenzi. Sasa Wacuba wakitaka kujua kitu, wanamuuliza huyu, naye anakwenda kumtekenya rais, anamwambia na yeye kwenda kuuza ramani kwa maadui.
Alikuwa tajiri.
Mzuri.
Maarufu.
Ila ndiyo hivyo, mapema tu, watu wakamuwahi.