Huyu Mwanamke alikuwa ni Pisi alafu ana nguvu balaa, achana na hawa kina Mobeto na Sepetu

Kama haijakubamba ww bas kwenye circle ya washkaji zako hii kitu utakua umeona
Dah wengi tu mkuu, ila ukishafika 30 kuna mambo mengi huwa yanabadilika hasa ya kuendeshwa na hizo mambo .

Mara nyingine ukikosa kuwa bize na shughuli zako lazima uangukie kwenye kuendeshwa na mapenzi.
 
Mkuu, hili andiko umeiba, umefanya UGIGISI na kuonesha kuwa umedhamiria kufanya hivyo, ukaamua utoe jina la aliyeliandika na kuoachika jina lako.
Sio jambo zuri na jitahidi kutoa credit kwa mwenyewe, itamsaidia kutiwa moyo na kuendelea kupata wafuasi zaidi na kununua kazi zake nyingine zaidi
 
Yule ni vle alikua anadinywa na president wa Dunia ikawa rahis kua spotted ila Kuna pisi kibao tu zilikua zinamzidi vigezo ila ndo vle tena zipo Rorya sijui Nyakanazi Sio rahis kuonekana
😝😝😝😝😝
 
Niliwahi kutazama na kusikiliza Documentary moja kumuhusu JFK na uongozi wake pamoja na maisha binafsi kiujumla kuanzia utoto, malezi au makuzi yake, ujana, elimu , mpaka maisha ya kisiasa na mpaka kufikia kuwa rais wa nchi. Mzee mmoja wa kizungu mtu mzima sana jina nimemsahau alikuwa akihojiwa (alikuwa mfanyakazi wa Ikulu, Chini ya ofisi ya Rais)... Hakusita kuweka wazi kwamba Hayati JFK alikuwa muhuni sana! (Womanizer) hata mkewe alijua na ndoa haikuwa na amani, furaha wala raha kwa upande wa mwanamke. Vyombo vya ulinzi na usalama walitumia nguvu kubwa kuendeleza mahusiano mazuri kati yao kwa kuzima mizozo na magomvi ya mara kwa mara.

Inawezekana chanzo cha kifo cha JFK kilisababishwa na Umalaya wake wa Kipumbavu mpaka kufikia kufunguka maswala nyeti ya nchi na uongozi wake kwa ujumla kwa kimada.

Kimada mwenyewe alikuwa anatifuliwa mpaka na wahuni wengine wenye pesa pale Marekani, ikawa ni aibu na usalama wa nchi kuwekwa rehani, wasiwasi ukaigubika Ofisi ya Rais, Makamu wake, wizara ya ulinzi na mambo ya ndani.

Consensus iliyofikiwa ndio yale yaliyomkuta mchana ule wa November, 22 mwaka 1963... Na kifo kilimkuta akiwa na mkewe. Hapa ndo utakumbuka ule msemo wa waswahili "Usiteme bigijii, kwa karanga za kuonjeshwa" au "mwenda tezi na omo, marejeo ngamani"

Risasi za kutosha zilitawanya fuvu la kichwa chake, huku msafara wake hayati JFK ukiwa unaendelea... Kazi ya ziada akabaki nayo mkewe kukishikilia kichwa kisitawanyike kutokana na risasi nyingi kulengwa kichwani mwake.

Jamaa alifia mapajani mwa mkewe, na vile vihawara vyake wala havikuwepo kumsaidia alipokuwa anapambana na mauti mchana ule.

Madaraka yasiwabadilishe, tulieni na wake zenu.
 
Pisi kali kojoa mara moja kisha toka nduki.. Muendelezo wake huwa na stori mbaya mwishoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…