Huyu mwanamke amejisingizia ana mimba ili anipige pesa?

[emoji28][emoji28][emoji28] mkuu nacheka kama mazuri hivi anyway.
Mimi ningekuwa wewe ningemfata huko huko huyo mchumba na kumpima kuhakikisha kama kwel maana ukimtumia nauli aje atakula tu.
Mwezii huu wa 10 naingia mkoanii huko mbona atanieleza bro
 
hizo text zake za kukuomba hela zitu zitunze zipige screenshot ziifaz kwny email huyo demu kata nae mazoea kabs km kwl ana mimba yako .. anazaa na akizaa atakuchfua lkn na ww lzm uwe na sabab ya kujitetea kwa alkuwa aelewek ndo maana ukamwaga
 
Tupe taarifa za kutosha tuende kwao tukamuangalie kama mi kweli. Si mlienda naye kuogelea kule Chemka?
 
hizo text zake za kukuomba hela zitu zitunze zipige screenshot ziifaz kwny email huyo demu kata nae mazoea kabs km kwl ana mimba yako .. anazaa na akizaa atakuchfua lkn na ww lzm uwe na sabab ya kujitetea kwa alkuwa aelewek ndo maana ukamwaga
Shukranii kaka[emoji419]
 
Msaada pekee kwako, ACHA UMALAYA. Mnatujazia mapanya road tu.
 
Kuona mimba yako mpaka ulipie buku 5[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Yaani ulipo sema anatumia kama fimbo ya kukupiga pesa jua hapo hakuna Mimba aisee. Nowadays njaa ipo nyingi kwa mabinti, Dem unamtongoza mchana jioni nyumbani gas imeisha sembuse Mimba. Kama vipi jitoe muhanga mtumie nauli aje Dar kaa nae ghetto nunua cha kupimia mimba mpime. Na hata kama anayo kuna uwezekano pia MIMBA ISIWE YAKO.
 
Sasa nikituma nauli hapo kaks kuna mawili kupigwa au anawez akaja kweriii
 
Hapa Dar umefungwa kamba huwezi kutoka kwenda huko huko mkoani ukajiridhishe?
Harafu ulijiamini nini kugonga peku peku?
Ukimaliza hilo la mimba uende ukapime na ukimwi kwa kufanya ngono zembe.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kama demu ni mfupi, mweusi , mwembamba na sura personal basi jiandae tu kuitwa dingi[emoji23].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…