Huyu mwanamke amejisingizia ana mimba ili anipige pesa?

Huyu mwanamke amejisingizia ana mimba ili anipige pesa?

Tuvulana twa dar tunapendaga kishamba sana
 
Jamaniii shukranii sanaa naludisha mlejesho nilijaribu kuangaika mpka nikapata namba za bro wake nikamuuliza akani jibu mbona sister hana mimba alikuwa anakuzinguwa 2 daah Wallah niliganda hapo hapo nimeshatumia gharama zangu kibao ameshanitia short sanaa 2 yanii[emoji17][emoji25]
 
Umeliwa
 
Poleee..usikubali jambo kirahisi kwa hawa mabinti wa kizazi cha sasa hivi bila kudhibitisha.nilijua lazima upigwe na kitu kizito.
 
Sasa topic hivii sasa hivii nikimpgia video call anani jibu anavyotaka yeye nikimwambia nioneshe mwanng hatakii anasema tuma buku 5 sasa mpaka nashtuka huyu mwanamke vipi amejisingizia ana mimba ili anipige pesa au nilimwambia una mimba kweli ana panic anasema mimba anayo tena yangu na nikimwambia nioneshe hatakii na mimi nipo Dar yeye yuko mkoanii.

Msaada wenu please waungwanaa kichwa chote kina stress 2 hapa🙏
Mpaka hapo unahangaika na mpigaji
1..Kutuma buku 5 upate video col
2. Kukujibu hovo

Cha kufanya.
Potea na acha kupokea simu, na kama kweli ana mimba atakufuata na utampima kujua ana mimba. Vinginevyo atakutumia sms za kukukashifu kushindwa kupokea sim zake na hapo hapo atakwambia ukweli hana mimba alikuwa anakuchuna.

Fanya hivyo ufanikiwa uje kunishukuru
 
Back
Top Bottom