machiaveli
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,225
- 5,055
Milioni 1 na nusu ni parefu kwa mwezi,ila kama unachangamsha genge Haina shida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utaopoa wadada wengi sana keep it upTafuta pesa mdogo wangu,mbona haya mambo ya kawaida tu!
Mwenzio nikiwa nina miaka 25 tayari nilikuwa nimenunua eneo la Ujenzi hapo Salasala kwa gharama si chini ya milioni 100
Nyumba yangu ina thamani isiyopungua Tsh 250 Milioni,achana na ya pale Buswelu mkoani Mwanza ambayo thamani yake pamoja na uwanja ni Tsh 170 Milioni!.
Pale Kisongo mkoani Arusha pia nina eneo kubwa lakini bado sijajenga,hili nataka nijenge hoteli,eneo hili nikiachiwa na mzee wangu!
Huwa nikiona Vijana hapa JF mmekalia mipasho nabaki nawashangaa kwasababu mnapoteza muda tu,kama wewe na familia yenu hamna uwezo wa kuhudumia Tsh 1.5 Milioni kwa mwezi usidhani ni watanzania wote tunakosa hiyo hela,hiyo hela kwangu ni ndogo sana!
Kwahiyo picha nyingine hukuona hadi uweke kama yanguNasoma Replies za Experts
Mmmmh. Chai sukari nyingi Sana alafu itakua wewe muhaya😄😄Binafsi nimezaa na mwanamke mmoja mbaye ameajiliwa na Jeshi moja wapo miongoni mwa majeshi hapa nchini. Huyu mwanake amekuwa na nyodo sana kutokana na kazi yake anayoifanya!
Huyu mwanamke anaijua nyumba yangu hapa Dar es salaam pamoja na mali kadhaa zinazoonekana hapa nyumbani zikiwemo gari zangu 2!
Kwa akili yake alikuwa (ga) anadhani hizo zinazoonekana ndizo mali zangu pekee; Mimi na yeye tulikosana kwasababu za kijinga sana, kwakuwa wakati tumekosana alikuwa mjamzito! Nilisubiri akajifungua salama na baada ya kujifungua kabla hajarudi kazini kila mwezi nilikuwa namtumia Tsh 1.5 M ili imsaidie yeye pamoja na mwanangu!.
Kiukweli baada ya kuwa namtumia hii hela ni kama alichanganyikiwa na alidhani mimi nafanya kwa ajili yake kumbe nilikuwa nafanya kwa ajili ya mwanangu!
kufupisha stori!
Mali zangu zote nimemuandika mwanangu, sababu ya kufanya hivyo ni historia mbaya ya wanawake niliyonayo kichwani mwangu!
Baada ya kumwambia kila kitu kuhusu mali zangu nimemuandika mwanangu, hapo ndipo ugomvi umeanza rasmi!
Kumbuka huyu mwanamke tayari anaye mshikaji wake ila anataka kuniona mimi zuzumm