Huyu mwanamke ana tatizo gani?

Huyu mwanamke ana tatizo gani?

Hatua ulizochukua ni sahihi kuandikisha mali zako kuwa za Mtoto wako.
Isipokuwa matumizi ya mtoto ni makubwa mno! Kwa ujinga wa wanawake kama hujamwonyesha vyanzo vyako VYOTE vya mapato yako ni rahisi kuamini una mali nyingi au fedha nyingi(huu ni ujinga wa wanawake karibia wote)
Usipofanya hivyo usishangae ukizushiwa uwongo kwamba una vimada wengine wanaotumia pesa hizo.
Pili kwa habari ya tabia yake hauna budi kukubaliana na hali tu.
Kama mlifunga ndoa ambayo inatambuliwa na Jeshi nadhani ulipewa fomu fulani ya kujaza na kusaini ambayo nadhani unaambiwa mkeo anaweza kuhihitajika muda wo wote!
Kama atahitajiwa na bosi wake usiku sawa!
Kama hujafunga naye ndoa na anaanza kukuchanganya fanya utaratibu wa kuachana naye! Maana mateso ya hiyo ndoa hutayavumilia.
Hayo ni mawazo yangu!
Mawazo haya nimeyachukua mkuu,Ahsante sana!
 
Hongera tajir 1.5m SI haba ila kapime DNA huyo mtoto.
Mkuu kwa hiyo kumtumia mwanamke wako aliye na mwanao Tsh 1.5 kwa mwezi kwenu ni hela nyingi?

Aisee kama kuna kitu ambacho vijana inapaswa mkikatae kwa nguvu zote ni Umasikini,yaani Vijana mnashangaa mimi kumtumia mwanamke niliyezaa naye Tsh 1.5 M kwa mwezi?,Serious kabisa?
 
Binafsi nimezaa na mwanamke mmoja mbaye ameajiliwa na Jeshi moja wapo miongoni mwa majeshi hapa nchini. Huyu mwanake amekuwa na nyodo sana kutokana na kazi yake anayoifanya!

Huyu mwanamke anaijua nyumba yangu hapa Dar es salaam pamoja na mali kadhaa zinazoonekana hapa nyumbani zikiwemo gari zangu 2!

Kwa akili yake alikuwa (ga) anadhani hizo zinazoonekana ndizo mali zangu pekee; Mimi na yeye tulikosana kwasababu za kijinga sana, kwakuwa wakati tumekosana alikuwa mjamzito! Nilisubiri akajifungua salama na baada ya kujifungua kabla hajarudi kazini kila mwezi nilikuwa namtumia Tsh 1.5 M ili imsaidie yeye pamoja na mwanangu!.

Kiukweli baada ya kuwa namtumia hii hela ni kama alichanganyikiwa na alidhani mimi nafanya kwa ajili yake kumbe nilikuwa nafanya kwa ajili ya mwanangu!

kufupisha stori!

Mali zangu zote nimemuandika mwanangu, sababu ya kufanya hivyo ni historia mbaya ya wanawake niliyonayo kichwani mwangu!

Baada ya kumwambia kila kitu kuhusu mali zangu nimemuandika mwanangu, hapo ndipo ugomvi umeanza rasmi!

Kumbuka huyu mwanamke tayari anaye mshikaji wake ila anataka kuniona mimi zuzu!
Nimesoma username ikabidi nifute comment.

Umefanya sahii anko.
 
Mkuu kwa hiyo kumtumia mwanamke wako aliye na mwanao Tsh 1.5 kwa mwezi kwenu ni hela nyingi?

Aisee kama kuna kitu ambacho vijana inapaswa mkikatae kwa nguvu zote ni Umasikini,yaani Vijana mnashangaa mimi kumtumia mwanamke niliyezaa naye Tsh 1.5 M kwa mwezi?,Serious kabisa?
Kwan wapi niliposhangaa mkuu? Mm nimekupa hongera tu binafsi Sina uwezo huo maana kipato changu chenyewe kwa mwezi hakifikii huko ni kweli umaskini sio kitu kizuri na hakuna anayeupenda.
 
Mkuu kama hutojali nataka nikutoe out ili u-experience aina nyingine ya maisha,maana hayo unayoishi ni kama yamekufunga akili!

Chagua nchi yoyote unayotaka kwenda nitakulipia Gharama zote kwa muda wa siku 7!

Ukiwa tayari nicheki pm
Hahaha naona unayajua sana maisha yangu Punguza majigambo ndugu
 
Binafsi nimezaa na mwanamke mmoja mbaye ameajiliwa na Jeshi moja wapo miongoni mwa majeshi hapa nchini. Huyu mwanake amekuwa na nyodo sana kutokana na kazi yake anayoifanya!

Huyu mwanamke anaijua nyumba yangu hapa Dar es salaam pamoja na mali kadhaa zinazoonekana hapa nyumbani zikiwemo gari zangu 2!

Kwa akili yake alikuwa (ga) anadhani hizo zinazoonekana ndizo mali zangu pekee; Mimi na yeye tulikosana kwasababu za kijinga sana, kwakuwa wakati tumekosana alikuwa mjamzito! Nilisubiri akajifungua salama na baada ya kujifungua kabla hajarudi kazini kila mwezi nilikuwa namtumia Tsh 1.5 M ili imsaidie yeye pamoja na mwanangu!.

Kiukweli baada ya kuwa namtumia hii hela ni kama alichanganyikiwa na alidhani mimi nafanya kwa ajili yake kumbe nilikuwa nafanya kwa ajili ya mwanangu!

kufupisha stori!

Mali zangu zote nimemuandika mwanangu, sababu ya kufanya hivyo ni historia mbaya ya wanawake niliyonayo kichwani mwangu!

Baada ya kumwambia kila kitu kuhusu mali zangu nimemuandika mwanangu, hapo ndipo ugomvi umeanza rasmi!

Kumbuka huyu mwanamke tayari anaye mshikaji wake ila anataka kuniona mimi zuzu!

images (8).jpeg

Hii vita bado mbichi 😹😹😹
 
huna iyo hela na huji kuipata
Vijana walalahoi hapa JF huwa mnajifariji sana!

Mimi nitaendelea kuwadharau kwasababu pesa siibi wala siokoti,napambana huko mikoani kuitafuta pesa,hivyo nitaendelea kuwaonyesha nyodo na dharau kwasababu wengi wenu ni wapumbavu!
 
1.5ml Per month hebu kwanza tufafanulie hapo, au we ni Bill Gate
 
Story yako nzuri, ila wewe kijana ni muongo.
Binafsi nimezaa na mwanamke mmoja mbaye ameajiliwa na Jeshi moja wapo miongoni mwa majeshi hapa nchini. Huyu mwanake amekuwa na nyodo sana kutokana na kazi yake anayoifanya!

Huyu mwanamke anaijua nyumba yangu hapa Dar es salaam pamoja na mali kadhaa zinazoonekana hapa nyumbani zikiwemo gari zangu 2!

Kwa akili yake alikuwa (ga) anadhani hizo zinazoonekana ndizo mali zangu pekee; Mimi na yeye tulikosana kwasababu za kijinga sana, kwakuwa wakati tumekosana alikuwa mjamzito! Nilisubiri akajifungua salama na baada ya kujifungua kabla hajarudi kazini kila mwezi nilikuwa namtumia Tsh 1.5 M ili imsaidie yeye pamoja na mwanangu!.

Kiukweli baada ya kuwa namtumia hii hela ni kama alichanganyikiwa na alidhani mimi nafanya kwa ajili yake kumbe nilikuwa nafanya kwa ajili ya mwanangu!

kufupisha stori!

Mali zangu zote nimemuandika mwanangu, sababu ya kufanya hivyo ni historia mbaya ya wanawake niliyonayo kichwani mwangu!

Baada ya kumwambia kila kitu kuhusu mali zangu nimemuandika mwanangu, hapo ndipo ugomvi umeanza rasmi!

Kumbuka huyu mwanamke tayari anaye mshikaji wake ila anataka kuniona mimi zuzu!
 
Sasa kumuandika mtoto wake si ni sawa tu na kuandika yeye mwenyewe
 
Roycol mchuzi mix
 
Back
Top Bottom