Huyu mwanamke anafaa kuwa mke kweli?

Kuna haya
1- hana mimba ila anatengeneza mazingira ya kutokupoteza

2-mimba ipo ndio ila je ni ya kwako kweli??au ya uyo jamaa mwingne ( anaweza dhibitisha kama ni yako kwa sasa au ndo mpaka mtoto azaliwe?)

3- kama utaweza kukubaliana na maumivu ya moyo na ile picha ya kusalitiwa akilini mwako na kusahau mazima ,,msamehe muendeleze gurudumu la mapenzi yenu
 
Sasa rafiki , kweli hapo unauliza tena ndugu?, Embu tumia akili kwanza hisia zifuate badae yaani binti akae na mtu one week , then hujui ni lini waliingia kwenye mahusiano, na mtu from Zanzibar mpaka kumuona Getu. Embu achana na huyo malaya then usitusumbue tena .Hiyo mimba kapime ujue ni yako au lah.


Ushauri tu
TEKERI.
 
Achana na huyo koko
 
Ama kwel ww una shida mahal FUSE zako haziko sawa kuna mahali zimekatika
 
Jibu unalo mwenyewe fanya unachoona ni sawa JF akuna anejua mapenzi yenu yametoka wap na mnapendana kias gan
 
Maana kuna maswali mengine ya kipuuzi sana. Mtu anaona kabisa aliyepo mbele yake ni Simba, halafu anakuuliza huyu anaekuja ni simba ama samaki?!

Sasa umjibuje hapo?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ingekuwa ni yeye hapo angesema ni Samaki 😂😂😂 wakati anaona kabisaa ni simba
 
Mimba inakuchanganyaje..? Dawa ya msaliti apewe malipo yake azae alee awe single mother. Nigga don't be mad men.
 
Oa tuu ni wife material uyo
 
Oya mr akili 2 me nakuongezea ya tatu [emoji116]

ACHANA NA HUYO MSHENZI
 
Nish Nishasamehe yote ila picha ya kusaritiwa imegoma kutoka kichwani ,,
 
Kuna changamoto sana kuishi na mwanamke afanyaye kazi hotelini
 
Hawara aachwi, mkule 0713,mpige tukio kama lake akukute na m-baby mwingine alafu akili yake itakaa sawa
 
Asante mkuu kwa ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…