Huyu mwanamke kanikosa na njaa zake

Umetumia pesa nyingi sana,

Ulitakiwa umuite baa siku moja baada ya safari yenu, mnywe bia na nyama choma huku ukimlegeza na kwenda kula mzigo halafu unapiga chini.

Mimi ni mzembe sana kuhonga, ila akiwa anajielewa huwa natoa sana vihela.
 
Bora kuepuka zinaa, ukalinda tupu zako ukapata mume wa kheri akakuoa na kukuweka ndani akakutunza na kukuhudumia kwa kila kitu. Hata awe masikini atakuhudumia kwa uwezo wake.

Kuliko kuhangaika na dunia kuja kupewa tujisenti ambato hatukusaidia zaidi ya kukushusha thamani yako kukuongezea dhambi na possibly kupata maradhi.

Just thinking out loud. Its a harsh world ukiwa na tamaa na njaa za kijinga.
 
Kuna wanaume hamna class Na dignity, Hivi kila mwanamke ni wa kulala naye?
 
Kuna mahali unakwama ndugu inakuwaje mwanamke kuwasiliana tu siku ya kwanza tu anakuambia ana njaa we huoni anakuona mjinga na wew bila kufikiria hilo unampa hela mimi niliacha zamani kudate na wanawake hawa tena hauhitaj kutumia pesa nying Kama utahitaji kuwatumia one night stand
 
Nitumie namba yake kwenye Ujumbe fiche (PM) nimuonye asirudie tena kulalamika hovyo.
 
Kimeumana
 
Na lazima litakuwa humu linasoma
 
Ndo dawa yao man,piga mbupu ndo unatoa ela

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mzee, anajiuza huyo.
Lkn pia wanawake wa mjini Daslam aisee ni shida! Ukiomba number tu umeshanunua matatizo makubwa.
[emoji23][emoji23]Ukichukua tu namba unakuwa in big trouble by default kama hela zako ni za ngama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…