Huyu mwanamke kanikosa na njaa zake

Huyu mwanamke kanikosa na njaa zake

Kuna kimoja Lipo hapa halijui kama linajulikana ila ulikuwa hapa utadhani ni mwanamke mstaraabu sana ila.[emoji57]
 
Ukiona mwanaume anajifanya hapendi kugonga wala kuhonga kama kwamba anayajua Maisha ,,,,,ukimfuatilia Sana ni kilaza tuu...mm nikikuhitaji ten ten au 20 20 tunanitoka Sana IL khari nilambe papuchi .... Ukiangalia Mambo ya vijijini bc tusichange kwenye masherehe,tusile nyama wala kuku na hata juice...hii dunia hauwezi kumridhisha kila MTU kikubwa Fanya utakavyo au uonavyo
Hongera kwakuwa real bro,,
Mwanaume kuhonga (kuhudumia) mwanamke anaempenda/anaemtaka ni jambo lakawaida sana na wengi tunafanya hivo ila hapa tunajivika u-gentlemen tu.
Na kwapoint yako nashauri uzi ufungwe.
 
Vipi ulitumia kondomu maana huyo anajiuza atakuwa kawapanga wengi Yani kukutana tu kwenye gari na mshavuana chupi?
Be careful
Unataka watumie siku ngapi ili kujua kwamba they're into each other. Mkuu siku hizi it's either imo au haimi, hakuna kusubirishana.
 
Muhimu ulipiga japo once, wengine wanahonga na kuambulia empty set[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji8] unanikumbusha kuna siku nilikuwa natoka zangu job TANGA KANGE narudi zangu home likizo makambako kuicheki familia ila nitapita Dar kwanza sasa nipo kwnye kigari changu kipya ki crown nilichonunua juzi kati hapa sasa nikampitia jamaa yangu mmoja ivi kwao MUHEZA yy alisema ataenda Dar nilivyofika MUHEZA mjini nikamcheki jamaa nikamwambia nipo muheza town hapa njoo nilivyopaki gari kuna kidada kilikuwa kinasafiri kinaenda Dar sasa bhana kikaniomba lift nikamwambia sawa twende lkn tumsubiri rafiki yangu anakuja hee tukanza story aisee kidada cha kizigua iko kinashepu balaa.

Sasa bhana mwana akaja nikampa jamaa funguo aendeshe mm nikakaa pembeni kumbuka nilichukua no story story tulafika dar vzr tu c nikachukua no yake aisee nilivyompigia tu simu siku ya kwanza akaniomba elfu 30 akasuke kwanza ndo aje tuonane mana nilimuomba tuonane nikamtumia lkn akuja ila kesho yake akanicheki akaja aisee nilikaa nacho pale Mabibo mwisho kuna bar inaitwa IBUNGU nilikanywesha we nikasepa nacho LODGE nilikapiga mashine sana kesho yake nikasepa mapema sana nikakaacha LODGE kamelala kanaamka akanikuti na sikukiachia hata shi 10 mana niliamka saa 11 ndo nilitoka Dar saa 11 Alfajiri nafika ruvu mida ya saa 1 na nusu ivi ndo kinapiga simu eti umeondoka hata ujaniaga dah ujaniachia hata ela ya matumizi nikamwambia nilikupa ila ela ya kusuka elfu 30 inatosha kalimaind sana[emoji13][emoji13][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].....
 
Total: 60,000/=
Bao:1

#SioFea
Hiyo ni bajeti ya kula mbususu moja kila mwezi kwa mwaka. Pengine huyo nae ni wale wanaouza usiku bao1 buku5, ila mleta mada kauziwa 60,000.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji8] unanikumbusha kuna siku nilikuwa natoka zangu job TANGA KANGE narudi zangu home likizo makambako kuicheki familia ila nitapita Dar kwanza sasa nipo kwnye kigari changu kipya ki crown nilichonunua juzi kati hapa sasa nikampitia jamaa yangu mmoja ivi kwao MUHEZA yy alisema ataenda Dar nilivyofika MUHEZA mjini nikamcheki jamaa nikamwambia nipo muheza town hapa njoo nilivyopaki gari kuna kidada kilikuwa kinasafiri kinaenda Dar sasa bhana kikaniomba lift nikamwambia sawa twende lkn tumsubiri rafiki yangu anakuja hee tukanza story aisee kidada cha kizigua iko kinashepu balaa.

Sasa bhana mwana akaja nikampa jamaa funguo aendeshe mm nikakaa pembeni kumbuka nilichukua no story story tulafika dar vzr tu c nikachukua no yake aisee nilivyompigia tu simu siku ya kwanza akaniomba elfu 30 akasuke kwanza ndo aje tuonane mana nilimuomba tuonane nikamtumia lkn akuja ila kesho yake akanicheki akaja aisee nilikaa nacho pale Mabibo mwisho kuna bar inaitwa IBUNGU nilikanywesha we nikasepa nacho LODGE nilikapiga mashine sana kesho yake nikasepa mapema sana nikakaacha LODGE kamelala kanaamka akanikuti na sikukiachia hata shi 10 mana niliamka saa 11 ndo nilitoka Dar saa 11 Alfajiri nafika ruvu mida ya saa 1 na nusu ivi ndo kinapiga simu eti umeondoka hata ujaniaga dah ujaniachia hata ela ya matumizi nikamwambia nilikupa ila ela ya kusuka elfu 30 inatosha kalimaind sana[emoji13][emoji13][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].....
Bro unafaa kua mjumbe kwenye chama chetu

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Hivi ni kweli wadada wanalia njaa kiasi hiki ama ni chunvi mnaongeza
Ni kweli, sio kwamba wanaume tunaongeza chumvi, yani ni shida tupu, ila kwa mm nikimtongoza Mdada leo, kesho akiniomba hela na papuchi hajanipa, namkimbia huyo mdada, nafuta namba yake, Na mahusiano yetu yanakufa hapo hapo Niwaheri
 
Back
Top Bottom