Huyu mwanamke kanikosa na njaa zake

Huyu mwanamke kanikosa na njaa zake

Doh, kumbe bado kuna watu wana ela za mchezo mchezo
 
Nmekutana nae kwenye gari natoka mikoa ya kaskazini mwa nchi hii, nmepanda Basi nimekuta kwenye siti kakaa peke yake kaweka begi lake alivyoniona kalitoa tukaa wote nikampa salaam akaitikia kidharau nikasema powa nami nikawa bize na simu zangu

Tumefika korogwe Basi ikacmama kuchimba dawa ndo demu akashuka kumcheki vzr amejaaliwa nyuma na ndo ugonjwa wangu alivorudi bado nikaendelea kuwa bize na simu zangu sijamwongelesha

Pembeni yangu kuna jamaa wakaanzisha story za mpira na siasa tukaanze kula stori ubishi Safari ikawa tamu gafla

Tumefika msata ndo demu ananiuliza unashuka wapi nikamwambia na yeye akanambia ikibidi tuanze kufahamina kiasi tukapeana namba tukafika mwisho wa Safari yetu..

Asubuhi nikamcheki umeamkaje kaanza oooh njaa sijala nikamrushia cha ten km baada ya siku mbili tena analia njaa nikatoa twenty, juzi cku ya uhuru asubuhi kaamka ana shida ya15 haraka sana nikatuma imefika mchana kanichek Niko wapi nikamwambia bunju akanambia anatak kuniona nikamjibu njoo demu kaja kavaa kimitego nika kaa nae bar kidogo nikamwambie twende chumbani kajifanya kukataa kataa lkn mwisho kakubali huyo tukaelekea chumbani tukafany yetu, tumemaliza nikampa 10 nauli akasepa

Cha ajabu alivofika kwake kanitumia text eti yaan umenigaragaza ivo unanipa 10tu hata sabuni ya kufulia chupi na kuogea haitoshi nikauliza kwani tulikua tunauziana na je hizo nilizokua nakutumia uko juzi nilikua napata nini eti nisamehe nimeamua kuachana nae tangu juzi linatuma sms na kupiga silijibu Mimi. Limenikosa halinipati teeena shenzi saana

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji1787] unafanana na mie kwa kila kitu Hana utu huyo mpuuuzi
 
Halafu huWEZ AMiNI uKUTE Ni MKe wA Mtu huYOOo.. .
MKiAMbiwa MSioE HAMSIKiiIi....

#YNWA
 
Ni kweli, sio kwamba wanaume tunaongeza chumvi, yani ni shida tupu, ila kwa mm nikimtongoza Mdada leo, kesho akiniomba hela na papuchi hajanipa, namkimbia huyo mdada, nafuta namba yake, Na mahusiano yetu yanakufa hapo hapo Niwaheri
Thamani ya mwanamke inazidi kushuka
 
Watu wanatoa mamilioni na anapiga goli moja kwa miez 6 ww unalalamika hzo hela za vocha ulizoombwa?? Mkuu kuwa serious basii.
Kahaba mkuu huyo sasa kaja kuwatetea makahaba wadogo wadogo sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hizo ndo mbishe zangu naweza nikakutumia hela hata mara nne kabla sijala mbususu siku nikiamka hovyo nafuta namba utajitumisha sms wala sisomi ni mwendo wa kudelete tu

Pesa yangu umekula
Mbususu yako sijala
Na maumivu wayapata
Sijui nini cha kuuma
Ah kisa mfereji umekata

Nmecheka kifala sana, unafutaje namba hujala mbususu??
 
Mi kuna mwali nimelala nae Jana usiku nimemtia goli 4 heavy asubuhi Nampa buku 3 ya nauli anagoma eti ndo hela gani unanipa ,nilichofanya nlimbeba kinguvu nikamtupia nje nikafunga mlango nikaendelea kuuchapa usingizi kumalizia weekend.
 
Mimi pesa yangu utakula baada ya kula mbususu hii mizinga mingine sijui sina vocha nakwambia mi si ndiyo nakupigia huwa najua vizuri sana kuipanchi ila ule mzinga wa nauli kutaka kuja geto ni dk 2 nimesha tuma.huwa ina niuma sana demu ale ela yangu na mbususu sijala ina nikata sana.

Inauma sana, unyama sana lakini
 
  • Thanks
Reactions: 7ve
Zipo mbususu hadi za buku 3 mkuu , siku hizi mbususu zimeshuka thamani aisee
Mbususu za buku 3 ni zile zenye michanga mkuu ila mbususu classic inayonukia huwezi pata kw buku 3😂 ataishia kula zenye michanga tu
 
Nilivokua wanawaza lile tako nilikua naona pesa sio kitu cha maana over tako

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizo ndo mbishe zangu naweza nikakutumia hela hata mara nne kabla sijala mbususu siku nikiamka hovyo nafuta namba utajitumisha sms wala sisomi ni mwendo wa kudelete tu

Pesa yangu umekula
Mbususu yako sijala
Na maumivu wayapata
Sijui nini cha kuuma
Ah kisa mfereji umekata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom