financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Mkuu inabidi iwe sh ngapišInamaana ni 30,000 kwa goli moja kiuchumi hiyo gharama sio stahimilivuš
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu inabidi iwe sh ngapišInamaana ni 30,000 kwa goli moja kiuchumi hiyo gharama sio stahimilivuš
Mzee, anajiuza huyo.Nmekutana nae kwenye gari natoka mikoa ya kaskazini mwa nchi hii, nmepanda Basi nimekuta kwenye siti kakaa peke yake kaweka begi lake alivyoniona kalitoa tukaa wote nikampa salaam akaitikia kidharau nikasema powa nami nikawa bize na simu zangu
Tumefika korogwe Basi ikacmama kuchimba dawa ndo demu akashuka kumcheki vzr amejaaliwa nyuma na ndo ugonjwa wangu alivorudi bado nikaendelea kuwa bize na simu zangu sijamwongelesha
Pembeni yangu kuna jamaa wakaanzisha story za mpira na siasa tukaanze kula stori ubishi Safari ikawa tamu gafla
Tumefika msata ndo demu ananiuliza unashuka wapi nikamwambia na yeye akanambia ikibidi tuanze kufahamina kiasi tukapeana namba tukafika mwisho wa Safari yetu..
Asubuhi nikamcheki umeamkaje kaanza oooh njaa sijala nikamrushia cha ten km baada ya siku mbili tena analia njaa nikatoa twenty, juzi cku ya uhuru asubuhi kaamka ana shida ya15 haraka sana nikatuma imefika mchana kanichek Niko wapi nikamwambia bunju akanambia anatak kuniona nikamjibu njoo demu kaja kavaa kimitego nika kaa nae bar kidogo nikamwambie twende chumbani kajifanya kukataa kataa lkn mwisho kakubali huyo tukaelekea chumbani tukafany yetu, tumemaliza nikampa 10 nauli akasepa
Cha ajabu alivofika kwake kanitumia text eti yaan umenigaragaza ivo unanipa 10tu hata sabuni ya kufulia chupi na kuogea haitoshi nikauliza kwani tulikua tunauziana na je hizo nilizokua nakutumia uko juzi nilikua napata nini eti nisamehe nimeamua kuachana nae tangu juzi linatuma sms na kupiga silijibu Mimi. Limenikosa halinipati teeena shenzi saana
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
HahahahaInamaana ni 30,000 kwa goli moja kiuchumi hiyo gharama sio stahimilivu[emoji205]
Anaitwa Nani?Nilivokua wanawaza lile tako nilikua naona pesa sio kitu cha maana over tako
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Kwani kiuhalisia inatakiwa tuwape ngapi yani ?Watu wanatoa mamilioni na anapiga goli moja kwa miez 6 ww unalalamika hzo hela za vocha ulizoombwa?? Mkuu kuwa serious basii.
Kivp tena
Watu wanatoa mamilioni na anapiga goli moja kwa miez 6 ww unalalamika hzo hela za vocha ulizoombwa?? Mkuu kuwa serious basii.
Unataka kuona tako sio..!Sorry mdau ni PM namba zake
Ila point, sisi wanaume tunachukulia eti kakupenda au unajua sana kutongoza, kumbe watu kazini.Vipi ulitumia kondomu maana huyo anajiuza atakuwa kawapanga wengi Yani kukutana tu kwenye gari na mshavuana chupi?
Be careful
Shida gani?
[emoji38][emoji38][emoji38]Kwani kiuhalisia inatakiwa tuwape ngapi yani ?
Kwa bei yenu elekezi ambayo imethibitishwa na ripoti ya muhasibu mkuu wa taifa na nyinyi wenyewe kwa mwaka huu wa fedha