Huyu mwanamke kanikosa na njaa zake

Huyu mwanamke kanikosa na njaa zake

Nmekutana nae kwenye gari natoka mikoa ya kaskazini mwa nchi hii, nmepanda Basi nimekuta kwenye siti kakaa peke yake kaweka begi lake alivyoniona kalitoa tukaa wote nikampa salaam akaitikia kidharau nikasema powa nami nikawa bize na simu zangu

Tumefika korogwe Basi ikacmama kuchimba dawa ndo demu akashuka kumcheki vzr amejaaliwa nyuma na ndo ugonjwa wangu alivorudi bado nikaendelea kuwa bize na simu zangu sijamwongelesha

Pembeni yangu kuna jamaa wakaanzisha story za mpira na siasa tukaanze kula stori ubishi Safari ikawa tamu gafla

Tumefika msata ndo demu ananiuliza unashuka wapi nikamwambia na yeye akanambia ikibidi tuanze kufahamina kiasi tukapeana namba tukafika mwisho wa Safari yetu..

Asubuhi nikamcheki umeamkaje kaanza oooh njaa sijala nikamrushia cha ten km baada ya siku mbili tena analia njaa nikatoa twenty, juzi cku ya uhuru asubuhi kaamka ana shida ya15 haraka sana nikatuma imefika mchana kanichek Niko wapi nikamwambia bunju akanambia anatak kuniona nikamjibu njoo demu kaja kavaa kimitego nika kaa nae bar kidogo nikamwambie twende chumbani kajifanya kukataa kataa lkn mwisho kakubali huyo tukaelekea chumbani tukafany yetu, tumemaliza nikampa 10 nauli akasepa

Cha ajabu alivofika kwake kanitumia text eti yaan umenigaragaza ivo unanipa 10tu hata sabuni ya kufulia chupi na kuogea haitoshi nikauliza kwani tulikua tunauziana na je hizo nilizokua nakutumia uko juzi nilikua napata nini eti nisamehe nimeamua kuachana nae tangu juzi linatuma sms na kupiga silijibu Mimi. Limenikosa halinipati teeena shenzi saana

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Mzee, anajiuza huyo.
Lkn pia wanawake wa mjini Daslam aisee ni shida! Ukiomba number tu umeshanunua matatizo makubwa.
 
Kivp tena
 
Uzi ungekosa maana kama usingechakata mbususu, ila umeshamgaragaza..

Kimbia sana kamanda, usigeuke nyuma.
 
Vipi ulitumia kondomu maana huyo anajiuza atakuwa kawapanga wengi Yani kukutana tu kwenye gari na mshavuana chupi?
Be careful
Ila point, sisi wanaume tunachukulia eti kakupenda au unajua sana kutongoza, kumbe watu kazini.

Mwanamke anayejiheshimu awezi kimbilia kuomba pesa na wakati ndio kwanza mmekutana na hajui una hali gani kifedha.
 
Back
Top Bottom