Huyu mwanamke ni mzuri kama malaika, halafu mlokole

kwanza hongera kwa kusifia uumbaji ni kipimo tosha kwa umekamilika,pili sambaza upendo kwa kugawa connection ili sisi single tuoe single mama.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜
 
Reactions: Sax
Huyo hajaokoka mkuu....alookoka deeply angejitenga na wewe kukutafta tafta ..anakulia timing..huenda na yeye kavutiwa na wewe ndo maana lazima akucheki...kila la heri kwenye urafiki wenu

Waliookoka huwa hawavutiwi na watu kimapenzi?
 
Huku kwetu sa mbili na dk 36
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…