Dra Maxie
Senior Member
- Dec 9, 2022
- 143
- 216
🤣🤣🤣🤣🤣Nani alikwambia Malaika ni mwanamke mzuri !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣Nani alikwambia Malaika ni mwanamke mzuri !
There you are ..unawaza kama mimi...ulokole ni kakichaka tu✌kwahiyo mlokole wa watu anakupigia simu kila siku kukujulia hali sio…halafu wewe usipompigia anakulalamikia si ndio eee
Safiii🤛
Ni swala la muda tu
Hao wote ni kama vile wanaogopana! Mlokole anaona kisha jitambulisha kua yeye kaokoka,so kuomba game anaona kama itakua sio sawa,na jamaa yetu kisha pigwa sound kua demu kaokoka,so anaona kumuomba game mlokole itakua sio sawa na huenda ndio ikawa mwisho wa urafiki wao,but kiuhalisia,sasa hivi kila mmoja kati yao, yupo tayari kuitenda ile dhambi.kwahiyo mlokole wa watu anakupigia simu kila siku kukujulia hali sio…halafu wewe usipompigia anakulalamikia si ndio eee
Safiii🤛
Ni swala la muda tu
Ngoja nikwambie tu ukweli ndugu yangu..sio wanawake tu hata wanaume wanapendwa kudanganywa.There you are ..unawaza kama mimi...ulokole ni kakichaka tu✌
Hujambo rafiki?Ngoja nikwambie tu ukweli ndugu yangu..sio wanawake tu hata wanaume wanapendwa kudanganywa.
Imagine huyo mwanamke angekuwa amevaa min skirt pengine ikamuonesha baadhi ya maungo kama kwanzia hapo juu ya Magoti kushuka chini na akamwambia ameokoka hivi unafikiri angemwamini?kuna kakivuli ka uwokovu amekatanguliza mbele..
😂😂hawa majamaa kunasiku watapasuana sehemu za uzazi ngoja tusubiri
stop living in fantansyWakati wa kufunga shule nilienda kumchukua kijana wangu shule moja ipo Kahama. Katika kusubiri maelekezo nikaona dada mmoja akiwa amekaa peke yake huku akichezea simu. Moyo ulilipuka sana baada ya macho yetu kugongana.
Nikawa kama nimepigwa shoti ya umeme. Niliona ni kama nimekutana na malaika aliyeshuka toka mbinguni. Nikatamani kumsogelea yule mrembo lakini nikawa na shaka kama niko presentable kwake?
Nikajivuta na kusogea karibu yake. Nikakoki sauti yenye mvuto na kumsalimia kikakamavu. Tukapiga stori mbili tatu za kuisifia shule yetu na hatimaye akanitaka nivute kiti tukae pale kubadilishana mawazo. Akajitambulisha anaitwa M (ufupisho) na anaishi kanda ya ziwa.
M ni mwanamke mzuri wakuu, fikiria naamka muda huu kuandika kuhusu uzuri wake. Licha ya kuvaa mavazi yenye stara, hiyo haikuwa sababu ya kuficha uzuri wa asili mwanadada huyu. Kwa umri wangu mpaka sasa huyu ni mwanamke mzuri zaidi ukilinganisha na wanawake wote duniani. Licha ya usemi unaosema uzuri upo machoni kwa mtu, lakini ukweli utabaki palepale M ni mzuri kiasi cha kusisimua.
Wengi tumekuwa na fikra kuwa pengine Angelina Jolie na Aishwarya Rai, ndiyo wanawake wazuri duniani lakini hapa hawaingii hata nusu. Hiyo
imesababishwa na umaarufu tu walionao walimbwende hao.
Ni mwanamke mrefu kiasi, maji ya kunde wa kung'aa kama kamwagiwa chocolate, ana mguu, ana kifua, ana macho ya kurembua, nyuma kafungasha,kiuno kimekatika. Mbaya zaidi anajiremba, nilimnusa kajipulizia utuli wa kuvutia sana. Nilijiridhisha huyu mwanamke hana kasoro kwa asilimia 90. 10 naziacha kwa viungo vya ndani.
Mara nyingi nilimtazama kwa macho ya kushangaa hata yeye akagundua. Nikataka kumjua zaidi, ananiambia yeye ana mtoto mmoja aliyemfuata pale, ni mwajiriwa lakini pia ameokoka anampenda Yesu. Baadae stori zake zikawa ni shuhuda mbalimbali za mambo ambayo Yesu amemtendea. Hakika nilivutiwa sana na M kiasi cha kuona nimewahi sana kuoa.
M amekuwa rafiki yangu,hakuna siku anaacha kunijulia hali. Nikimpotezea hulazimika kunipigia simu akilalamika kuwa kimya.
Kwa hiyo najiona kama mtu mwenye cheo. Cheo cha rafiki wa mwanamke mzuri kuliko wote duniani. Mzuri wa sura na yupo karibu na Mungu.
niamini TI..kuna siku ndugu yetu tunaependezwa nae atamualika shangazi mlokole wakapate divai na chakula cha bwana restaurant baada ya kumaliza kula ataomba amsindikize nyumbani….sasa umbali wa kutoka restaurant mpka nyumban.. lolote laweza kutokea ikiwa ni pamoja na kupanga siku nyingine ya kwenda kusifu na kuabudu mlima sayuniHao wote ni kama vile wanaogopana! Mlokole anaona kisha jitambulisha kua yeye kaokoka,so kuomba game anaona kama itakua sio sawa,na jamaa yetu kisha pigwa sound kua demu kaokoka,so anaona kumuomba game mlokole itakua sio sawa na huenda ndio ikawa mwisho wa urafiki wao,but kiuhalisia,sasa hivi kila mmoja kati yao, yupo tayari kuitenda ile dhambi.
Sijambo TI habari yakoHujambo rafiki?
😎
Niko poa.Sijambo TI habari yako
Safiii🤛🤛🤛Niko poa.
Huyo amechanganya sister mtawa na mlokoleWaliookoka huwa hawavutiwi na watu kimapenzi?
Wewe ni kati ya manawake wachache waliopongeza. Wengi humu wamekuwa na wivu huyu mrembo kumwagiwa sifa kwamba sijaona kifaa kama hiki dunia nzimaSafi🤛
Hao mimi siwaachi natengaga laki5 ikifika Laki 2 na nusu sijamla nakatisha mzuka.Wakati wa kufunga shule nilienda kumchukua kijana wangu shule moja ipo Kahama. Katika kusubiri maelekezo nikaona dada mmoja akiwa amekaa peke yake huku akichezea simu. Moyo ulilipuka sana baada ya macho yetu kugongana.
Nikawa kama nimepigwa shoti ya umeme. Niliona ni kama nimekutana na malaika aliyeshuka toka mbinguni. Nikatamani kumsogelea yule mrembo lakini nikawa na shaka kama niko presentable kwake?
Nikajivuta na kusogea karibu yake. Nikakoki sauti yenye mvuto na kumsalimia kikakamavu. Tukapiga stori mbili tatu za kuisifia shule yetu na hatimaye akanitaka nivute kiti tukae pale kubadilishana mawazo. Akajitambulisha anaitwa M (ufupisho) na anaishi kanda ya ziwa.
M ni mwanamke mzuri wakuu, fikiria naamka muda huu kuandika kuhusu uzuri wake. Licha ya kuvaa mavazi yenye stara, hiyo haikuwa sababu ya kuficha uzuri wa asili mwanadada huyu. Kwa umri wangu mpaka sasa huyu ni mwanamke mzuri zaidi ukilinganisha na wanawake wote duniani. Licha ya usemi unaosema uzuri upo machoni kwa mtu, lakini ukweli utabaki palepale M ni mzuri kiasi cha kusisimua.
Wengi tumekuwa na fikra kuwa pengine Angelina Jolie na Aishwarya Rai, ndiyo wanawake wazuri duniani lakini hapa hawaingii hata nusu. Hiyo
imesababishwa na umaarufu tu walionao walimbwende hao.
Ni mwanamke mrefu kiasi, maji ya kunde wa kung'aa kama kamwagiwa chocolate, ana mguu, ana kifua, ana macho ya kurembua, nyuma kafungasha,kiuno kimekatika. Mbaya zaidi anajiremba, nilimnusa kajipulizia utuli wa kuvutia sana. Nilijiridhisha huyu mwanamke hana kasoro kwa asilimia 90. 10 naziacha kwa viungo vya ndani.
Mara nyingi nilimtazama kwa macho ya kushangaa hata yeye akagundua. Nikataka kumjua zaidi, ananiambia yeye ana mtoto mmoja aliyemfuata pale, ni mwajiriwa lakini pia ameokoka anampenda Yesu. Baadae stori zake zikawa ni shuhuda mbalimbali za mambo ambayo Yesu amemtendea. Hakika nilivutiwa sana na M kiasi cha kuona nimewahi sana kuoa.
M amekuwa rafiki yangu,hakuna siku anaacha kunijulia hali. Nikimpotezea hulazimika kunipigia simu akilalamika kuwa kimya.
Kwa hiyo najiona kama mtu mwenye cheo. Cheo cha rafiki wa mwanamke mzuri kuliko wote duniani. Mzuri wa sura na yupo karibu na Mungu.
Alafu ndivo inavokuagaAkija kumchakata atamuona wa kawaida tu hana jipya [emoji16][emoji16][emoji16]
Umepitia uzi wote lakini?Wewe ni kati ya manawake wachache waliopongeza. Wengi humu wamekuwa na wivu huyu mrembo kumwagiwa sifa kwamba sijaona kifaa kama hiki dunia nzima
HaaaaEARLY MORNING TEA [emoji477] [emoji477] [emoji477]
Uzii huu bila picha ni batiliWakati wa kufunga shule nilienda kumchukua kijana wangu shule moja ipo Kahama. Katika kusubiri maelekezo nikaona dada mmoja akiwa amekaa peke yake huku akichezea simu. Moyo ulilipuka sana baada ya macho yetu kugongana.