tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 21,329
- 28,063
Na unaambiwa udhaifu huo ndo definition ya uanaume sasa.Na ndo tumeumbwa hivo na muumba,usituhukumu sanaKweli wanaume wadhaifu kwa wanawake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na unaambiwa udhaifu huo ndo definition ya uanaume sasa.Na ndo tumeumbwa hivo na muumba,usituhukumu sanaKweli wanaume wadhaifu kwa wanawake
Ndipo yatakapotimia yaliyotabiriwa [emoji16] umeyasema kilokole, umeokoka? Unampenda Yesu?niamini TI..kuna siku ndugu yetu tunaependezwa nae atamualika shangazi mlokole wakapate divai na chakula cha bwana restaurant baada ya kumaliza kula ataomba amsindikize nyumbani….sasa umbali wa kutoka restaurant mpka nyumban.. lolote laweza kutokea ikiwa ni pamoja na kupanga siku nyingine ya kwenda kusifu na kuabudu mlima sayuni
Hallelujah
HakikaHuu uzi bila picha hauna mashiko hata kidogo
[emoji23][emoji15]mi nina sura ya kiume mkuu
[emoji23]"Nikatoa sauti yenye mvuto" Wanaume wa kizazi hiki [emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316]
Kwahiyo una lisauti lako baya, ila kwa mrembo ukajibebisha ghafla? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] OKW BOBAN SUNZU
[emoji23][emoji23]Umelala na furushi lako, unajua nae kalala kumbe kadamka kumsifia mwanamke jf, alooooh!!
Anyway, Mungu fundi.
Kwa hiyo mimi furushi,sio?! Haaa haaUmelala na furushi lako, unajua nae kalala kumbe kadamka kumsifia mwanamke jf, alooooh!!
Anyway, Mungu fundi.
Nipasie namba mkuu anafaa kuwa mke huyo. Tena wa kanda yetu huyo atafaa sana.Hajaolewa. Ni singo maza
Nimeamua ifike hatua niwe na ukaribu na mwanamke bila kumtaka kimapenzi. Hii kitu ilinishindaAtakua mnyarwanda maana wale pia si haba. Kaka kamalize kazi kwanini unajibania?
Nimeamua ifike hatua niwe na ukaribu na mwanamke bila kumtaka kimapenzi. Hii kitu ilinishinda
Atakua mnyarwanda maana wale pia si haba. Kaka kamalize kazi kwanini unajibania?
😅😅😅 Napokea kaka napokea! Lakini sina chakujitetea kwako!Unachembechembe za kigaidi si bure.
Wewe Sasa ndio umeongea, siku zote nawaambia, mwenye maamuzi ya mwisho na mamlaka ya kuamua kupeana ni mwanamke. Njoo na pesa zako sijui makorokoro Gani, kama hataki, hataki tu. Na akiamua ameamua tu yaishe. Ndio maana hata kwenye Uzi wa kimasihara naona watu wanajiturumua sijui ikawa hivi ikawa vile tukaishia kimasihara, nani kasema? Wanawake wanafanya hivyo at their own discretion.Mwanaume ukisha kua mdhaifu kwa mwanamke utajulikana tuu na hakuna kujificha kabisa lazima ujulikane
😅😅😅 Napokea kaka napokea! Lakini sina chakujitetea kwako!