Huyu mwanamke ni mzuri kama malaika, halafu mlokole

Mwanaume ukisha kua mdhaifu kwa mwanamke utajulikana tuu na hakuna kujificha kabisa lazima ujulikane
 
Hii ndiyo tunaita Man Down.....!
Watakula kichwa mazee, hebu kuwa makini.
 
Ndipo yatakapotimia yaliyotabiriwa [emoji16] umeyasema kilokole, umeokoka? Unampenda Yesu?
 
Mwanaume ukisha kua mdhaifu kwa mwanamke utajulikana tuu na hakuna kujificha kabisa lazima ujulikane
Wewe Sasa ndio umeongea, siku zote nawaambia, mwenye maamuzi ya mwisho na mamlaka ya kuamua kupeana ni mwanamke. Njoo na pesa zako sijui makorokoro Gani, kama hataki, hataki tu. Na akiamua ameamua tu yaishe. Ndio maana hata kwenye Uzi wa kimasihara naona watu wanajiturumua sijui ikawa hivi ikawa vile tukaishia kimasihara, nani kasema? Wanawake wanafanya hivyo at their own discretion.

Hata aseme yeye ni malaika, baba yake Gabriel na Mjomba wake ni Israel na ni mdogo wake Maria bikira, akiamua kukupea atakupea tu na kama hataki hata umkute anajiuza na ametoka kushindwa a Bei na mteja ukapandia dau Bado suala la uamuzi wa kugawia nani kinabaki kwake.

Sasa basi, Kwa huyu ndugu yetu, kama M anataka iwe, itakua Haina haja ya kusononeka sana. Hizo ulokole na rasharasha nyingine ni za kuweka sawa tu ujue ametulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…