Huyu mwanamke ni sahihi kuniambia maneno haya?

Kama hana kazi jaribu mtaftie hata mishe mishe afanye

Itasaidiaa kuepuka unnecessary drama kama hizo
Mybe, lakini unadhani kauli kama hio ina afya kweli .
Ameongea hivyo pengine akiwa hana chakujishikiza nacho , siku akipata unadhani nini kitafuata?
 
Watu wa humu bhana kila mtu tajiri ,mtu unaponda 30k kwa wiki ?80% tumekulia kwenye malezi ya 2000 kwa siku kwa familia ya watu hata 8.
Kama mke wako mlifahamiana vizuri wakati mnaoana hio hela inatosha tena hasa kukiwa kuna mahitaji yote nyumbani kama unga na mchele.
Usichoke kupambana bro huenda kesho ukamuachia 300k ila kama hela unapeleka kwa michepuko naomba upigwe ndoige na mkeo
 
A assume ni Dada yake anatendewa hayo mkuu
 
dah pole xan bro ila uyo mwanamke ana tamaa sana na inaonesha huwa anatoka kuzfata pind na ww ukitoka
 
Tatizo sio pesa uliyompa.
Tatizo ni kauli alizokutamika. Hilo ndio tatizo kubwa sana unalohitaji kulifanyia kazi haraka iwezeknavyo.

Solution:
Hakikisha unarejesha heshima yako lama mwanaume kwenye familia.

Hakikisha unasimamia misimamo yako, hasa unapotoa maelekezo ya msingi.

Hakikisha uwe na confidence:kwenye kufanya maamuzi, kuongoza familia ,kusimamia.

Hzi dharau anakuonesha sio kwasababu ya kisi kidogo ulichotoa , ni kwasababu kuna mambo yanayomfanya akudharau .

Nasababu zenyewe ni kama kutokujiamnini, kumpa mwanamke nafasi kubwa kuongoza mahusiano kuliko wewe..

Badilika
 
Fukuzia mbali kabisa....timua huyo haraka sana
 
Dah mkuu pole kwa kupewa maneno ya chobo!!! ila yote ww ni msababichaji. Mwanaume unakua baghili unajikadiria ujazo wa tumbo lako kisha unagawanya nusu ya matumbo yaliopo..
Mke wako amekupa maneno ya karaha ila yy sio wakulaumiwa. Kosa unalo. kwa kua huna uwazi ktk matumizi ya kipato chako. Mfume dume unakuponza. Nilazima akutuhumu kua pexa unazo ila unafanya kusudi kubana matumizi.
Hujachelewa jirekebishe ili uanze mwaka vizuri...
 
Trust me mzee wangu, kuna mwamba tayari kaingilia himaya yako... anamuhonga mkeo hela ya maana inayomvuruga mkeo akili na kuona kwamba huyo ndo mwanaume.... Ndo mkome mkiambiwa msioe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…