Huyu mwanamke nimemshushia kipigo mbele ya hadhira

Huyu mwanamke nimemshushia kipigo mbele ya hadhira

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,367
Reaction score
11,604
Niko na mahusiano nae, lakini huwa tunakutana bar na hotelini tu! Ni wiki mbili sasa tokea tufahamiane, mtaratibu, hana vizinga vya kimataifa, papuchi nimechakata mara tatu!

Siku ya jana ikabidi nimlete kwangu kwa kuwa nimemwamini, usiku ulikuwa mzuri tu [emoji39]

Cha ajabu leo asubuhi saa 12 nikaona niende kupiga maji (Kuoga) ili nije niwashe kigesi changu niandae chai tunywe! Nimerudi ndani nakuta tv haipo (Samsung HD 32 inch), nimehaha! Nikatinga kipensi changu haraka sana, nikatoka kifua wazi kuulizia majirani, wakanipa direction ya njia aliyopitia, nikatoka speeeeeed bin vuuuuuu! Nimekutana nae maeneo ya sokoni kabeba na wallet yangu, kifuko cha magu cha 300 alikuwa kaweka deki ya Star times na pasi!

Nimemshushia kipigo cha maana! Huku watu wamenizunguka, makelele ya Weyuuuuu! Piga huyoooo! Yakiwa yananijaza kichwa!

Sasa hivi ndo nimerudi gheto naangalia kama kuna kitu kingine cha ziada hakipo!
 
Ndio matatizo ya kuokota madanga njiani hayo!

[emoji14][emoji14][emoji14]
 
Yes hii ni expresso ya asubuhi, nani kakupa mamlaka ya kumpiga?hukuona umuhimu wa Kuwaiti police ambao kisheria ndio wenye jukumu hili?halafu unakuja kijificha hapa JF, kama kweli umefanya hili jitambulishe hapa na nitakufungulia mashitaka ya kujichukulia sheria mkononi mwako..kangaroo court!,always heshimu wajibu wa kisheria mkuu..jipeleke mwenyewe kituoni ukaekezee upuuzi huu
 
Wewe juzi si ulisema huyu huyu kakuibia mtaji wako wote? Leo ghafla haombi hela.
Inabidi muwekewe jukwaa lenu rasmi linaloitwa "chai".
Tena mpewe mpka umoderator. Wewe na yule wa stori ya lindi na ID zake zote.
Faken
 
Wewe juzi si ulisema huyu huyu kakuibia mtaji wako wote? Leo ghafla haombi hela. Inabidi muwekewe jukwaa lenu rasmi linaloitwa "cha...
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimejikuta nacheka kama ni mazuri,
Yule alikuwa anauza uji wa mchele, nilikutana nae siku hiyo hiyo na nikalizwa siku hiyo hiyo, ila nilipojaribu kumuulizia alikana!

Ila huyu ni wiki mbili sasa niko naye, ni mwingine!
 
Yes hii ni expresso ya asubuhi, nani kakupa mamlaka ya kumpiga?hukuona umuhimu wa Kuwaiti police ambao kisheria ndio wenye jukumu hili?
Polisi hawa ambao ukiwapeleka kesi wanakugeuza chanzo cha mapato?

Au unamaanisha Polisi wa kule Scandinavia mkuu?
 
Ungemsamehe Ukafunga nae ndoa,Alikua mke wako mzuri sana huyo!!
 
Back
Top Bottom