Niko na mahusiano nae, lakini huwa tunakutana bar na hotelini tu! Ni wiki mbili sasa tokea tufahamiane, mtaratibu, hana vizinga vya kimataifa, papuchi nimechakata mara tatu!
Siku ya jana ikabidi nimlete kwangu kwa kuwa nimemwamini, usiku ulikuwa mzuri tu [emoji39]
Cha ajabu leo asubuhi saa 12 nikaona niende kupiga maji (Kuoga) ili nije niwashe kigesi changu niandae chai tunywe! Nimerudi ndani nakuta tv haipo (Samsung HD 32 inch), nimehaha! Nikatinga kipensi changu haraka sana, nikatoka kifua wazi kuulizia majirani, wakanipa direction ya njia aliyopitia, nikatoka speeeeeed bin vuuuuuu! Nimekutana nae maeneo ya sokoni kabeba na wallet yangu, kifuko cha magu cha 300 alikuwa kaweka deki ya Star times na pasi!
Nimemshushia kipigo cha maana! Huku watu wamenizunguka, makelele ya Weyuuuuu! Piga huyoooo! Yakiwa yananijaza kichwa!
Sasa hivi ndo nimerudi gheto naangalia kama kuna kitu kingine cha ziada hakipo!