[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. aiseeNiko na mahusiano nae, lakini huwa tunakutana bar na hotelini tu! Ni wiki mbili sasa tokea tufahamiane, mtaratibu, hana vizinga vya kimataifa, papuchi nimechakata mara tatu!
Siku ya jana ikabidi nimlete kwangu kwa kuwa nimemwamini, usiku ulikuwa mzuri tu [emoji39]
Cha ajabu leo asubuhi saa 12 nikaona niende kupiga maji (Kuoga) ili nije niwashe kigesi changu niandae chai tunywe! Nimerudi ndani nakuta tv haipo (Samsung HD 32 inch), nimehaha! Nikatinga kipensi changu haraka sana, nikatoka kifua wazi kuulizia majirani, wakanipa direction ya njia aliyopitia, nikatoka speeeeeed bin vuuuuuu! Nimekutana nae maeneo ya sokoni kabeba na wallet yangu, kifuko cha magu cha 300 alikuwa kaweka deki ya Star times na pasi!
Nimemshushia kipigo cha maana! Huku watu wamenizunguka, makelele ya Weyuuuuu! Piga huyoooo! Yakiwa yananijaza kichwa!
Sasa hivi ndo nimerudi gheto naangalia kama kuna kitu kingine cha ziada hakipo!
Ukawasha Kigesi chako kutuandalia chai....sio??😁Niko na mahusiano nae, lakini huwa tunakutana bar na hotelini tu! Ni wiki mbili sasa tokea tufahamiane, mtaratibu, hana vizinga vya kimataifa, papuchi nimechakata mara tatu!
Siku ya jana ikabidi nimlete kwangu kwa kuwa nimemwamini, usiku ulikuwa mzuri tu [emoji39]
Cha ajabu leo asubuhi saa 12 nikaona niende kupiga maji (Kuoga) ili nije niwashe kigesi changu niandae chai tunywe! Nimerudi ndani nakuta tv haipo (Samsung HD 32 inch), nimehaha! Nikatinga kipensi changu haraka sana, nikatoka kifua wazi kuulizia majirani, wakanipa direction ya njia aliyopitia, nikatoka speeeeeed bin vuuuuuu! Nimekutana nae maeneo ya sokoni kabeba na wallet yangu, kifuko cha magu cha 300 alikuwa kaweka deki ya Star times na pasi!
Nimemshushia kipigo cha maana! Huku watu wamenizunguka, makelele ya Weyuuuuu! Piga huyoooo! Yakiwa yananijaza kichwa!
Sasa hivi ndo nimerudi gheto naangalia kama kuna kitu kingine cha ziada hakipo!
Kwani police ndio wenye TV?Yes hii ni expresso ya asubuhi, nani kakupa mamlaka ya kumpiga?hukuona umuhimu wa Kuwaiti police ambao kisheria ndio wenye jukumu hili?halafu unakuja kijificha hapa JF, kama kweli umefanya hili jitambulishe hapa na nitakufungulia mashitaka ya kujichukulia sheria mkononi mwako..kangaroo court!,always heshimu wajibu wa kisheria mkuu..jipeleke mwenyewe kituoni ukaekezee upuuzi huu
Kweli hiyo?Niko na mahusiano nae, lakini huwa tunakutana bar na hotelini tu! Ni wiki mbili sasa tokea tufahamiane, mtaratibu, hana vizinga vya kimataifa, papuchi nimechakata mara tatu!
Siku ya jana ikabidi nimlete kwangu kwa kuwa nimemwamini, usiku ulikuwa mzuri tu [emoji39]
Cha ajabu leo asubuhi saa 12 nikaona niende kupiga maji (Kuoga) ili nije niwashe kigesi changu niandae chai tunywe! Nimerudi ndani nakuta tv haipo (Samsung HD 32 inch), nimehaha! Nikatinga kipensi changu haraka sana, nikatoka kifua wazi kuulizia majirani, wakanipa direction ya njia aliyopitia, nikatoka speeeeeed bin vuuuuuu! Nimekutana nae maeneo ya sokoni kabeba na wallet yangu, kifuko cha magu cha 300 alikuwa kaweka deki ya Star times na pasi!
Nimemshushia kipigo cha maana! Huku watu wamenizunguka, makelele ya Weyuuuuu! Piga huyoooo! Yakiwa yananijaza kichwa!
Sasa hivi ndo nimerudi gheto naangalia kama kuna kitu kingine cha ziada hakipo!
[emoji23][emoji23]Ahsante mkuu
Ila nlishaagiza soup
🤣😁🤣😁 vitafunwa tayari...?maana nimeskia analeta na vitafunwaAhsante mkuu
Ila nlishaagiza soup
[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji16][emoji1787][emoji16] vitafunwa tayari...?maana nimeskia analeta na vitafunwa
[emoji849] sasa unafki upo wapi hapo?Acha unafki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiv kat ya Me na Ke nani ndio danga? Maana naskia sana huu msemo ila hata sijawah kuujua kiundan maana yake
Kama na ww unatabia hizo za kwenda kwenye mageto ya wanaume kuliwa,halafu una iba mali za watu geto kuna siku utachezea vitasaa vya usoYes hii ni expresso ya asubuhi, nani kakupa mamlaka ya kumpiga?hukuona umuhimu wa Kuwaiti police ambao kisheria ndio wenye jukumu hili?halafu unakuja kijificha hapa JF, kama kweli umefanya hili jitambulishe hapa na nitakufungulia mashitaka ya kujichukulia sheria mkononi mwako..kangaroo court!,always heshimu wajibu wa kisheria mkuu..jipeleke mwenyewe kituoni ukaekezee upuuzi huu
Hivi ndio hawa wa vinguo vya chui chui, vibegi vidogo na tuviatu twa manyoya