VINICIOUS JR
JF-Expert Member
- Dec 29, 2022
- 208
- 518
Kwema wakuu, kama mada inavojieleza kuna mdada nilikutananae wiki iliyopita kwa kifupi nilimwelewa nikamwomba namba akanipa tukayajenga fresh akakubali baada ya hapo nikaomba nionane nae sehemu mida ya jioni nikamnunulia nyama za kuku nikatoa noti ya af10 nikalipa. sasa yule demu baada ya kuiona noti ile alijawa na bashasha, basi nikapokea chenji kwa muuza nyama nikaanza kumsindikiza kuelekea kwao sababu alinambia tukitoka hapo nimsindkize kwao tulivofika karibu na kwao nikaomba anikiss.
Ee bwana ee si akanipa denda tukaagana mara ananiambia naomba nibless nauli ya kwenda nayo field kesho alitumia neno NIBLESS nauli ya kwenda nayo field sikumpa mana nilimnunulia nyama, pia anataka nimnunulie sweta la kuvaa huko field.
Sasa kinacho nikela huyu bidada huwa ananiuliza maswali ya kidwanzi kwamba nikimkuta na njemba nitamchukuliaje? Pia mara nyingi nikimchek kwa sms hasa mida ya usiku ananiambia yupo busy na masomo Pia mchana aniambia anakua busy field ni tabia ambayo anayo mara kwa mara sasa juzi nikaamua nifute namba yake mana ina kera kumtafuta mtu mda wote anakuambh yupo busy ilinisimsumbue mana akinambia nisimcheki ndo nataman zaidi kumtext pia nayeye toka nimefuta namba yake hajenicheki. Mabaharia vipi nimvizie ni hit and run au nivunge tu mana nikitaka nionane nae napajua kwao na anaposoma pia?