Huyu mwanamke nimtafute tena au nibwage?

Huyu mwanamke nimtafute tena au nibwage?

Ujinga ujinga tu..nenda kwenye chimbo nunua na chenji inabaki....hivi vianafunzi vya chuo vitakusumbua tu
 
Kwa hiyo ulivyopigwa mate unaona ndio umemaliza?Mkuu zama zime change,manzi haoni tabu kubusu njema hata kumi Ili apate maokoto.Jipange.
 
Kijana umri wako tafadhali niweze kukusahauri vizuri ili jambo lako
 
Kwaiyo unataka ushauri kwamba umgegede au Usi mgegede. Nakushauli Usimgegede Utanasa zaidi uje kulialia humu jukwaani sawa.
 
Achana na mtoto wa watu jikite kwenye utafutaji,unatoa elfu kumi unarudishiwa chenji unatia mfukoni?
 
Sweta tu kaanzisha uzi, mnauhakika kwenye harusi yao tutashiba kweli??? #jokes
Wenyewe wanasema kwenye harusi za kuchangishana unakwenda ili tu kusupport si kula na kushiba. Hapo ushatoa milioni 5 za mchango eti unakwenda kunywa beer 2 na labda kunywa chupa moja ya maji baridi.
 
Wenyewe wanasema kwenye harusi za kuchangishana unakwenda ili tu kusupport si kula na kushiba. Hapo ushatoa milioni 5 za mchango eti unakwenda kunywa beer 2 na labda kunywa chupa moja ya maji baridi.
Unayajua maumivu ya kutoa mchango halafu ukose chakula siku ya sherehe?😅
 
Back
Top Bottom