Huyu mwanamke nimtafute tena au nibwage?

Nje ya kidogo ya maada mliyajengaje? yaani ulimwambia maneno gani hadi akakubali? Tunasaidie na sisi madomozege tupate pa kuanzia.
 
Una miaka mingapi?
 
Yaani mtu kala nyama zako za kuku alafu anazingua usikubali mwana!

Alafu eti anaona chenji ya teni imerudi eti anaomba umbless?

Ila JF dah.
 
ifike mahali ukue pambana ujitambue unataka nini kwa huyo mtoto mwenzio ,vinginevyo utapoteza muda na hela zako ...unachokitaka kuna wenzako wanapewa bure bila kutoa chochote
 
Mnunulie kwanza sweta, baridi ni hatari kwa afya yake...
Wanaanzaga hivi hivi, atataka sweater kisha gari na baadaye pango la nyumba la miaka miwili huku mzigo hujala bado. Kwa kweli kuna wanaume na vijanadume hapa Tanzania.
 
NIMESOMA COMMENTS NIMECHEKA HADI TUMBO LINANIUMA. WAKUU SHUSHENI COMMENTS ZIWE MINGI
 
Junior eeh,huyo demu Ana msela mwingine anaemuelewa,chakufanya mulie tiiming piga afu sepa hela isiende bure
 
Aikoooooo! Umtafute kwa nini wakati red flag tayari zimekuzunguka ulishabwagwa🤣🤣🤣🤣
 
Acha ku date na wanafunzi
 
Hahaha, madogo miyeyusho sana. Wewe kiukweli kabisa katafute hela kwanza kama unataka tukushauri kwamba utulie na huyo mwanamke, maana bila hela nyuzi za maumivu zitakuwa nyingi sana. Huyo saivi hawezi kuwa na wewe peke yako kama hauna hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…