Kama unao uwezo achana na hiyo simu. Yani jifanye kama hakuna kilichotokea. Mwambie mwenye simu ukweli kuwa simu umeibiwa ili ujue jinsi mtakavyo lipana.
Ukimkaushia huyo manzi amini nakwambia atakutafuta mwenyewe. Na hata kama asipo kutafuta sio mbaya ila ukithubutu kumpa pesa ata kufanya mtumwa wake
Mwambie husiponiletea simu mpaka muda fulani "Kwa mfano mpaka kesho saa 4" utaenda polisi kwasababu yeye ni mwizi na amekiri kosa na ushaidi unao hapo wa hizo sms