Huyu mwanamke Pasua kichwa nakabiliana naye vipi?

Huyu mwanamke Pasua kichwa nakabiliana naye vipi?

Hama mtaa, mpige block kila mahali na usije kumtafuta tenaaa.

Hapo hakuna mimba wala ndugu yake na mimba.

Kubwa zaidi hakuna mke hapo ni mdangaji tu huyo...
 
Kama unao uwezo achana na hiyo simu. Yani jifanye kama hakuna kilichotokea. Mwambie mwenye simu ukweli kuwa simu umeibiwa ili ujue jinsi mtakavyo lipana.

Ukimkaushia huyo manzi amini nakwambia atakutafuta mwenyewe. Na hata kama asipo kutafuta sio mbaya ila ukithubutu kumpa pesa ata kufanya mtumwa wake
 
Back
Top Bottom