Huyu Mwanamke tangu alipokuja kwangu kang'ang'ania kukaa hataki kuondoka

Wakuu habari za muda na wakati kama huu.

Binafsi naamini wengi wetu tu wazima wa afya na wale wachache wenye changamoto fulani kiafya basi Mungu awatie nguvu na awape steps zingine ahead.

Niende kwenye mada moja kwa moja.
mnamo tarehe sita ya mwezi wa saba mwaka jana niliamishwa kituo cha kazi sasa niko mkoani huku kanda ya kati.
Nimeishi mwenyewe kwa mwezi mmoja na nusu mpaka kufikia mwezi wa tisa nikawa nimepata mwanamke wa kuishi nae.mwanamke huyu nilikutana nae jioni moja ndani ya supermarket akiwa anapata mahitaji yake kama ilivyo kawaida.

Tuliongea vizuri hiyo siku tukabadilishana namba,kesho yake tuliongea vizuri zaidi kwa njia ya simu tukapanga kukutana,sikuwaza sana kuhusu mazingira ama eneo la kukutana nikamwambia aje kwangu nae hakusita akakubali.

Kweli kesho ingine jioni mida ya saa kumi na mbili alifika kwangu tukapata chakula pamoja tukafurahi tukalana kisawa sawa mpaka mida ya saa nne usiku.nikajaribu kumwambia kuhusu kumpigia dereva wangu wa tax amrudishe,manzi akasema sio mbaya ata akilala kwa siku hiyo moja kwani sijapenda kampani yake?mwanaume nikasema aah! kulala tu sio big deal sana lala tu mama i real appreciate your company

Manzi akalala,usiku mzima ikawa ni fujo tu.....gheto likageuka msitu mtoto full kucheza na miti.asubuhi hii hapa nikaamka mapema nikajianda kabla sijaondoka nikamuachia maelekezo nikaingia mzigoni,nikajua nikirudi sito mkuta coz ndo tulivokubaliana na alisema nimuachie funguo moja then akija next time atakuja nayo.

Jioni narudi ghetto namkuta ndani karelax na wala hana ata wasiwasi tena kapiga deki vizuri kapulizia malashi katandika kitanda katulia anatizama movie.na kubwa zaidi kapika mpaka na chakula cha jioni.

Daah!sikutaka kuhoji sana maana alivonipokea nilijihisi kama mfalme vile. chap maji yakapelekwa bafuni nikapewa taulo moja kwa moja kuoga.siku ya pili ikapita ya tatu ya nne narudi toka mzigoni nakuta mtoto kafatia nguo zingine kwake.

Kumbe nilikuoa nimeoa bila kujua wakuu,mwezi ukaisha miezi mitatu ikapita mwezi wa kumi na mbili mwishoni nikasema kiukweli siwezi oa kifala namna hii.wakati udsm na mtoto mkali kumzidi na tayari nimezaa nae mtoto mmoja,kwanini huyu manzi wa mkoani anigande kiasi hiki.

Nikamueleza kuwa nina mke yuko dar anasoma na ninamtoto nae tayari na hivi karibuni atakuja kuniona sasa inakuwaje hapo hebu tushauriane tunafanyaje mamaangu ww mwenyewe si unaelewa tulivokutana mimi na ww.jibu alonipa nilichoka zaidi,akaniambia yy aje tutakuwa wote....nikamjibu mama si unakwako akasema ndio ila nimepafunga na hapa kwako siondoki.wakuu hapo ndo nilipo jua kwanini dunia duara.

Kwa kifupi tulizozana sana ikabidi niwe nakodi chumba cha mshikaji wangu mwingine ambae muda mwingi anakuwa safarini.hiki chumba ndo huwa nakutana na huyu babe mama wangu nilie zaa nae.

Siku ya leo ndo kanikela zaidi huyu mwanamke nilie oa bila kutegemea.na hii ndo sababu pekee ya mimi kuandika uzi huu.amenipigia simu niko kibanda umiza nachek game ya yanga.......kwamba anashida na laki mbili na nusu kuna emegency imetokea alinipa maelekezo kibao sana nikasema ni kweli sina budi kumsaidia.....nikamuelekeza sehemu yenye hela nikakata simu nikaendelea kutizama burudani.

Mpira umeisha nimerudi nyumbani cha ajabu sijakuta mtu,nimekaa ndani ya masaa mawili mwanamke karudi amefika tu ananiomba samahani mara oooh mume samahani nimetumia laki yako nyingine pasi na kukushirikisha hvyo naomba unisamehe nimechukua laki tatu na nusu badala ya laki mbili na nusu kama ulivyo niambia.na nimeshatumia hivyo naomba unisamehe.

Kabla ajamaliza kusema nikamwambia hebu nyamaza kimya kwanza.nikawa nimevimba nikatoka nje nikatafakari sana.mpaka sasa sielewi nifanyaje,haipiti wiki tunagombana sana ana amri na mbishi na king'ang'anizi mno.asione unachart au unaongea na simu utakula kofi la mgongo ht sms ikiingia saa sita za usiku ikiwa ya mwanamke basi utaeleza kwanini imeingia muda huo.miezi yote hiyo tuloishi nae kila nilipokuwa namwambia kuhusu kurudi kwake hakuwahi kunielewa ht mara moja.na binafsi sina mpango wa kufunga nae pingu za maisha ni yeye tu na ubishi wake.

Ushauri wenu kwangu:
Wakuu nifanyaje mbona sielewi ina maana ndo nimeoa hivi hivi!napitia wakati mgumu sana na mgogoro wa nafsi na stress nyingi mno.kuna muda najichukia nakujiona mjinga wa mwisho.najuta na nailaani vikali ile siku na saa pale supermarket.

Nisaidieni natokaje hapa.
Mkuu maisha ya wadada ni magumu Sana oa tu hiyo Mali(Kula chuma hicho)
Hapo ukute keshakutegeshea mimba ili akuzalie kabisa
 
Okay roger that.i got a numbers of plan from here,ni mimi kutulia nakufanyia kazi.thanks ma.
Fanya haraka utuletee mrejesho tunangoja kuona baby mama wako anakuwa free kwako na sio malayer unazokutana nazo, kumbuka mtoto wako anahitaji malezi yako
 
Kwani ukipiga hesabu vitu vya hapo ndani ulipo panga vina thamani gani?

Toka hapo tokomea muachie nyumba atajijua mwenyewe

Amani ya moyo ni bora zaidi kuliko vitu utqkavyoviacha hapo kumkimbia huyo mhuni wako.
Hakuna vya kumuachia nyumba, inaonekana jamaa hamna kitu yaani mlenda, anashindwaje kuwa mkali amfukuzie mbali abaki na amani yake ya moyo na baby mama wake
 
Mkuu maisha ya wadada ni magumu Sana oa tu hiyo Mali(Kula chuma hicho)
Hapo ukute keshakutegeshea mimba ili akuzalie kabisa
Na yule mchumba sjui mke baby mama wake ndo abaki wa kuitwa single maza? Hizi umbwa sio kila muokota makopo amevuta bangi kumbe
 
Hahaha! Unajua napata shida sana kuamini uwepo wa watu kama wewe. Watu wanaoendeshwa, kuteswa, kuonewa na Wanawake. Naona kama natazama Sci fi movie. Huu uzi naona unaweza kuwa Chai.

Mimi ndio maana habari za kugandana na mtu sitaki kuzisikia kabisa. Ukimaliza shida unadissappear kama ghost.

Wanawake ni binadamu na binadamu ni kama mbwa. Anakusoma na unachomzoesha na kumfundisha ndicho anachokifanya. Maana yake siku za mwanzoni unatakiwa umfundishe unayotaka ayajue kuhusu wewe kama ni mtu wa misimamo au boya.

Ulichokosea ni kumuacha siku ya kwanza kabisa aende kinyume na maamuzi yako bila kumfanya chochote, hivyo akakuona boya na easy kukuendesha.

Kama kweli una nia ya kumuacha na kusawazisha mambo. Basi mbadilikie mara moja. Kuwa mkali na umuonyeshe who's the fukin man in the damn house. Kwa kiswahili ni mbadilikie na umuonyeshe nani mwanaume kwenye nyumba.
 
Tafuta chumba mbali na hapo kale deal na afisa mikopo waje wasombe vitu umeshindwa kulipa mkopo ila anza kujenga mazingira ulalamike una mkopo umekopa microfinance jitie mawazo haulali halafu wake kubeba kumbe wanakuhamisha weeee hakai halafu wewe jifanye waenda kukaaa Kwa mshikaji.
This is it.
 
sikumpenda nilivutiwa nae tu kihisia ndomana sikuwa na mpango wa kuishi nae kama mke na mume lengo ni kupita tu

Nimejaribu mbinu nyingi sana za kibinadamu kumuondoa lakini imeshindikana mkuu.kuna muda mpaka naongea nae kirafiki kwamba arudi kwake kodi takuwa namlipia nikimmiss takuwa namtafuta lakini haelewi mkuu.

Mzazi mwenzangu alikuja nililala nje week zima baada ya hapo narudi kwangu namkuta mtu hana wasiwasi wala swali katulia tu na maisha yakaendelea kama kawaida.mkuu sio rahisi kama unavosema

Nafanya vituko vingi sana lkn hamna mabadiliko yyte.mbinu pekee nazo ona mpaka sasa ndo hizi za kimafia tu.kwako ww mkuu ungemtoaje?
Mbinu za kibinadamu hazita kutoa ulipo
Tumia za kimafia kisha leta mrejesho. Niliwahi kupitia hali kama hiyo mbinu za kimafia ndio zilinitoa,
Nili time hayupo ni kafunga mlango nikamwandikia sms nimeenda wilaya jirani, akawa anapiga simu sipokei wala sijibu sms baada ya wiki nakamwelekeza mahali aka chukue mabegi yake. Baada ya hapo nilijiona kama nimezaliwa upya. Wewe una mahali pakukimbilia hamia huko mwezi vitu vyake mtumishie bodaboda mpe boda namba yake
Ukisha mwambia nimekutumia vitu vyako usitake mawasiliano wala usilale kwako siku hiyo, au hama
 
Hahaha! Unajua napata shida sana kuamini uwepo wa watu kama wewe. Watu wanaoendeshwa, kuteswa, kuonewa na Wanawake. Naona kama natazama Sci fi movie. Huu uzi naona unaweza kuwa Chai.

Mimi ndio maana habari za kugandana na mtu sitaki kuzisikia kabisa. Ukimaliza shida unadissappear kama ghost.

Wanawake ni binadamu na binadamu ni kama mbwa. Anakusoma na unachomzoesha na kumfundisha ndicho anachokifanya. Maana yake siku za mwanzoni unatakiwa umfundishe unayotaka ayajue kuhusu wewe kama ni mtu wa misimamo au boya.

Ulichokosea ni kumuacha siku ya kwanza kabisa aende kinyume na maamuzi yako bila kumfanya chochote, hivyo akakuona boya na easy kukuendesha.

Kama kweli una nia ya kumuacha na kusawazisha mambo. Basi mbadilikie mara moja. Kuwa mkali na umuonyeshe who's the fukin man in the damn house. Kwa kiswahili ni mbadilikie na umuonyeshe nani mwanaume kwenye nyumba.
I got you buddha.🙏🙏
 
Fukuxa
Wakuu habari za muda na wakati kama huu.

Binafsi naamini wengi wetu tu wazima wa afya na wale wachache wenye changamoto fulani kiafya basi Mungu awatie nguvu na awape steps zingine ahead.

Niende kwenye mada moja kwa moja.
mnamo tarehe sita ya mwezi wa saba mwaka jana niliamishwa kituo cha kazi sasa niko mkoani huku kanda ya kati.
Nimeishi mwenyewe kwa mwezi mmoja na nusu mpaka kufikia mwezi wa tisa nikawa nimepata mwanamke wa kuishi nae.mwanamke huyu nilikutana nae jioni moja ndani ya supermarket akiwa anapata mahitaji yake kama ilivyo kawaida.

Tuliongea vizuri hiyo siku tukabadilishana namba,kesho yake tuliongea vizuri zaidi kwa njia ya simu tukapanga kukutana,sikuwaza sana kuhusu mazingira ama eneo la kukutana nikamwambia aje kwangu nae hakusita akakubali.

Kweli kesho ingine jioni mida ya saa kumi na mbili alifika kwangu tukapata chakula pamoja tukafurahi tukalana kisawa sawa mpaka mida ya saa nne usiku.nikajaribu kumwambia kuhusu kumpigia dereva wangu wa tax amrudishe,manzi akasema sio mbaya ata akilala kwa siku hiyo moja kwani sijapenda kampani yake?mwanaume nikasema aah! kulala tu sio big deal sana lala tu mama i real appreciate your company

Manzi akalala,usiku mzima ikawa ni fujo tu.....gheto likageuka msitu mtoto full kucheza na miti.asubuhi hii hapa nikaamka mapema nikajianda kabla sijaondoka nikamuachia maelekezo nikaingia mzigoni,nikajua nikirudi sito mkuta coz ndo tulivokubaliana na alisema nimuachie funguo moja then akija next time atakuja nayo.

Jioni narudi ghetto namkuta ndani karelax na wala hana ata wasiwasi tena kapiga deki vizuri kapulizia malashi katandika kitanda katulia anatizama movie.na kubwa zaidi kapika mpaka na chakula cha jioni.

Daah!sikutaka kuhoji sana maana alivonipokea nilijihisi kama mfalme vile. chap maji yakapelekwa bafuni nikapewa taulo moja kwa moja kuoga.siku ya pili ikapita ya tatu ya nne narudi toka mzigoni nakuta mtoto kafatia nguo zingine kwake.

Kumbe nilikuoa nimeoa bila kujua wakuu,mwezi ukaisha miezi mitatu ikapita mwezi wa kumi na mbili mwishoni nikasema kiukweli siwezi oa kifala namna hii.wakati udsm na mtoto mkali kumzidi na tayari nimezaa nae mtoto mmoja,kwanini huyu manzi wa mkoani anigande kiasi hiki.

Nikamueleza kuwa nina mke yuko dar anasoma na ninamtoto nae tayari na hivi karibuni atakuja kuniona sasa inakuwaje hapo hebu tushauriane tunafanyaje mamaangu ww mwenyewe si unaelewa tulivokutana mimi na ww.jibu alonipa nilichoka zaidi,akaniambia yy aje tutakuwa wote....nikamjibu mama si unakwako akasema ndio ila nimepafunga na hapa kwako siondoki.wakuu hapo ndo nilipo jua kwanini dunia duara.

Kwa kifupi tulizozana sana ikabidi niwe nakodi chumba cha mshikaji wangu mwingine ambae muda mwingi anakuwa safarini.hiki chumba ndo huwa nakutana na huyu babe mama wangu nilie zaa nae.

Siku ya leo ndo kanikela zaidi huyu mwanamke nilie oa bila kutegemea.na hii ndo sababu pekee ya mimi kuandika uzi huu.amenipigia simu niko kibanda umiza nachek game ya yanga.......kwamba anashida na laki mbili na nusu kuna emegency imetokea alinipa maelekezo kibao sana nikasema ni kweli sina budi kumsaidia.....nikamuelekeza sehemu yenye hela nikakata simu nikaendelea kutizama burudani.

Mpira umeisha nimerudi nyumbani cha ajabu sijakuta mtu,nimekaa ndani ya masaa mawili mwanamke karudi amefika tu ananiomba samahani mara oooh mume samahani nimetumia laki yako nyingine pasi na kukushirikisha hvyo naomba unisamehe nimechukua laki tatu na nusu badala ya laki mbili na nusu kama ulivyo niambia.na nimeshatumia hivyo naomba unisamehe.

Kabla ajamaliza kusema nikamwambia hebu nyamaza kimya kwanza.nikawa nimevimba nikatoka nje nikatafakari sana.mpaka sasa sielewi nifanyaje,haipiti wiki tunagombana sana ana amri na mbishi na king'ang'anizi mno.asione unachart au unaongea na simu utakula kofi la mgongo ht sms ikiingia saa sita za usiku ikiwa ya mwanamke basi utaeleza kwanini imeingia muda huo.miezi yote hiyo tuloishi nae kila nilipokuwa namwambia kuhusu kurudi kwake hakuwahi kunielewa ht mara moja.na binafsi sina mpango wa kufunga nae pingu za maisha ni yeye tu na ubishi wake.

Ushauri wenu kwangu:
Wakuu nifanyaje mbona sielewi ina maana ndo nimeoa hivi hivi!napitia wakati mgumu sana na mgogoro wa nafsi na stress nyingi mno.kuna muda najichukia nakujiona mjinga wa mwisho.najuta na nailaani vikali ile siku na saa pale supermarket.

Nisaidieni natokaje hapa.
Mtoroke fala huyo kabla haja kupiga msumari
 
Jini hilo🤣🤣🤣🤣.

Ndio mkome kuparamia paramia watu ovyo🤣.

Ukute alikesha sana kwenye maombi mixer waganga wa kienyeji kuomba mume. Sasa mume umejipeleka mwenyewe unatarajia akuache.

Mtaani kugumu ndugu. Ukute hiyo supermarket uliyomkuta alikuwa kwenye mingo ya kufuatilia majibu ya sala zake. Mara kidume ukajitokeza na shobo zako🤣🤣🤣.

Na ukitaka kuisoma namba hasa jitusue umpe mimba.
Jamaa ameyakanyaga halafu inavyoonekana mwanamke amewahi kumsoma jamaa kwa haraka sana kwamba ni mtu mpole,sio mchoyo,muelewa mwanamke akaona ndio huyu huyu nilikuwa nakesha kwenye maombi kumtafuta sasa amejitokeza ndio maana kajiachia kabisa wala hamuogopi,kila anachoomba anapewa ataenda wapi tena.
Wewe unadhani ingekuwa jamaa ana uso wa mbuzi,muonekano kama jambazi unadhani angekaa hapo.
Kwa kifupi jamaa kwa sasa hana cha kufanya hapo inasubiriwa mimba tu ili iwe kidhibiti kamili.
Yaani hapo usalama wake ni kumtelekeza tu kumsusia geto na kumzimia simu akushakaa na njaa siku 2 mwenyewe ataondoka,akishaondoka unaenda kuhamisha vitu vyako unahamia mtaa mwingine kama uko serious lakini maana isije ikawa tunaombwa ushauri wakati kumbe na mwentewe kashanogewa naye
 
Back
Top Bottom