Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Nimemwambia tukutane guest house. Kawahi sababu kwao ni karibu. Kachukua room ila hakulipa mpaka nije mimi.
Nimefika room nikampa pesa aende kulipa hataki. Tumebishana masaa mawili mwishowe kaenda kalipa. Karudi namuliza umeandikisha na jina. Anasema hawezi andikisha jina lake nikaandike langu.
Huu si ujeuri kabisa? Yaani pesa kaenda lipa yeye anataka litumike jina langu kwenye kitabu cha guest?huyu kweli atanifaa kumuwowa?naona kama hawezi jishusha hivi je kwenye ndoa si ndo atanipanda kichwani.
Nimemwambia akaandikishe jina kagoma kabisa. Basi tumekaa kuanzia saa 12 jioni jana mpaka saa 6 usiku kila mtu anategea mwenzake ndo akaandike jina. Nikaona ujinga. Nikaamka kama naenda kuandikisha.
Nikatlka nje nikapanda bodaboda nikarudi zangu home na simu nikazima. Sipendi wanawake wajeuri kabisa.