Huyu Mwanamke tumeshindwana. Aende zake tu mi siwezi kwa kweli

Inashangaza sana, mnabishana kuandika jina wakati mmekubaliana mkakulane, na kukulana ni jambo la starehe, sasa endapo mmoja angejishusha akaandika jina hiyo faragha ingekuwa yenye raha kweli??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…