Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Kufia lodge ni aibu sana 🤣🤣🤣Kwanb uwape watu tabu kutafuta marehemu😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufia lodge ni aibu sana 🤣🤣🤣Kwanb uwape watu tabu kutafuta marehemu😂😂😂
Upuuz stor za ktoto mnaletaNimemwambia tukutane guest house. Kawahi sababu kwao ni karibu. Kachukua room ila hakulipa mpaka nije mimi.
Nimefika room nikampa pesa aende kulipa hataki. Tumebishana masaa mawili mwishowe kaenda kalipa. Karudi namuliza umeandikisha na jina. Anasema hawezi andikisha jina lake nikaandike langu.
Huu si ujeuri kabisa? Yaani pesa kaenda lipa yeye anataka litumike jina langu kwenye kitabu cha guest?huyu kweli atanifaa kumuwowa?naona kama hawezi jishusha hivi je kwenye ndoa si ndo atanipanda kichwani.
Nimemwambia akaandikishe jina kagoma kabisa. Basi tumekaa kuanzia saa 12 jioni jana mpaka saa 6 usiku kila mtu anategea mwenzake ndo akaandike jina. Nikaona ujinga. Nikaamka kama naenda kuandikisha.
Nikatlka nje nikapanda bodaboda nikarudi zangu home na simu nikazima. Sipendi wanawake wajeuri kabisa.
Khaa! JF ni kiboko.Nimemwambia tukutane guest house. Kawahi sababu kwao ni karibu. Kachukua room ila hakulipa mpaka nije mimi.
Nimefika room nikampa pesa aende kulipa hataki. Tumebishana masaa mawili mwishowe kaenda kalipa. Karudi namuliza umeandikisha na jina. Anasema hawezi andikisha jina lake nikaandike langu.
Huu si ujeuri kabisa? Yaani pesa kaenda lipa yeye anataka litumike jina langu kwenye kitabu cha guest?huyu kweli atanifaa kumuwowa?naona kama hawezi jishusha hivi je kwenye ndoa si ndo atanipanda kichwani.
Nimemwambia akaandikishe jina kagoma kabisa. Basi tumekaa kuanzia saa 12 jioni jana mpaka saa 6 usiku kila mtu anategea mwenzake ndo akaandike jina. Nikaona ujinga. Nikaamka kama naenda kuandikisha.
Nikatlka nje nikapanda bodaboda nikarudi zangu home na simu nikazima. Sipendi wanawake wajeuri kabisa.
Yes. Ila kwa kweli amenikatisha tamaa sana.kwahiyo ulipanga umuoe huyo[emoji848]
Mwamba una roho ngumu weweeee,akifaulisha show itakuwaje sasa😂🤣Nimemwambia tukutane guest house. Kawahi sababu kwao ni karibu. Kachukua room ila hakulipa mpaka nije mimi.
Nimefika room nikampa pesa aende kulipa hataki. Tumebishana masaa mawili mwishowe kaenda kalipa. Karudi namuliza umeandikisha na jina. Anasema hawezi andikisha jina lake nikaandike langu.
Huu si ujeuri kabisa? Yaani pesa kaenda lipa yeye anataka litumike jina langu kwenye kitabu cha guest?huyu kweli atanifaa kumuwowa?naona kama hawezi jishusha hivi je kwenye ndoa si ndo atanipanda kichwani.
Nimemwambia akaandikishe jina kagoma kabisa. Basi tumekaa kuanzia saa 12 jioni jana mpaka saa 6 usiku kila mtu anategea mwenzake ndo akaandike jina. Nikaona ujinga. Nikaamka kama naenda kuandikisha.
Nikatlka nje nikapanda bodaboda nikarudi zangu home na simu nikazima. Sipendi wanawake wajeuri kabisa.
Home of stress lessKhaa! JF ni kiboko.
Wakati wengine wanataka kutokakwahiyo ulipanga umuoe huyo[emoji848]
hapo hujapata mke. Tafuta ingneYes. Ila kwa kweli amenikatisha tamaa sana.
Unamcheka dada kiburi au mwamba jeuri?
Mbona una jazba mkuu? Mzigo ametoa lakini?Nimemwambia tukutane guest house. Kawahi sababu kwao ni karibu. Kachukua room ila hakulipa mpaka nije mimi.
Nimefika room nikampa pesa aende kulipa hataki. Tumebishana masaa mawili mwishowe kaenda kalipa. Karudi namuliza umeandikisha na jina. Anasema hawezi andikisha jina lake nikaandike langu.
Huu si ujeuri kabisa? Yaani pesa kaenda lipa yeye anataka litumike jina langu kwenye kitabu cha guest?huyu kweli atanifaa kumuwowa?naona kama hawezi jishusha hivi je kwenye ndoa si ndo atanipanda kichwani.
Nimemwambia akaandikishe jina kagoma kabisa. Basi tumekaa kuanzia saa 12 jioni jana mpaka saa 6 usiku kila mtu anategea mwenzake ndo akaandike jina. Nikaona ujinga. Nikaamka kama naenda kuandikisha.
Nikatlka nje nikapanda bodaboda nikarudi zangu home na simu nikazima. Sipendi wanawake wajeuri kabisa.
Sikuona kama ni sahihi kudanganya. Si jambo jema hata kidogo. Yeye alifanya ujeuri tena kwa pesa yangu... Sasa alipata jeuri yake.Gest tunaandikaga majina ya uongo mkuu hsta kama nipo hapo hapo nasema nimetokea mkoa X" yaani msafiri..but linda ID yako likitokea lolote usaidike kirahisi
Mizigo yake nlimwachia humo ndani kama alitoa au aliacha mi sijui tenaMbona una jazba mkuu? Mzigo ametoa lakini?
Nimeona aisee[emoji23]Umesoma uzi mwingine, umekuja kukomenti kwenye uzi mwingine...hiyo komenti ni ya uzi wa dad anaeombwa laki na nusu kila wiki na mwanaume wake
Petro Oswald
Hapaswi kuwa mjeuri. Mimi nimemtuma anatakiwa afanye nlichomtumaMfano msingeandika jina ni kwamba uchi wake ungekuwa hauingiliki?? Au jogoo wako asingepanda mtungi mpaka kuwa na jina kwenye register ya guest.