Huyu Mwanamke tumeshindwana. Aende zake tu mi siwezi kwa kweli

Kwani mkuu ungeandika jina lako ungepungukiwa nini? daaaah hukuwa na hamu ya kula mbususu yake aisee,
yaani nashangaa mwanaume gani unasusa kula mbususu?
Nimemwambia tukutane guest house. Kawahi sababu kwao ni karibu. Kachukua room ila hakulipa mpaka nije mimi.

Nimefika room nikampa pesa aende kulipa hataki. Tumebishana masaa mawili mwishowe kaenda kalipa. Karudi namuliza umeandikisha na jina. Anasema hawezi andikisha jina lake nikaandike langu.

Huu si ujeuri kabisa? Yaani pesa kaenda lipa yeye anataka litumike jina langu kwenye kitabu cha guest?huyu kweli atanifaa kumuwowa?naona kama hawezi jishusha hivi je kwenye ndoa si ndo atanipanda kichwani.

Nimemwambia akaandikishe jina kagoma kabisa. Basi tumekaa kuanzia saa 12 jioni jana mpaka saa 6 usiku kila mtu anategea mwenzake ndo akaandike jina. Nikaona ujinga. Nikaamka kama naenda kuandikisha.

Nikatlka nje nikapanda bodaboda nikarudi zangu home na simu nikazima. Sipendi wanawake wajeuri kabisa
 
Wote hamna akili...

Guest za nini wakati vichaka vipo...
 
Uongo ni kipaji na bahati mbaya mleta uzi hana hicho kipaji.
 
Kwani mkuu ungeandika jina lako ungepungukiwa nini? daaaah hukuwa na hamu ya kula mbususu yake aisee,
yaani nashangaa mwanaume gani unasusa kula mbususu?
Kwa nini yeye asitake kuandika jina lake? Lazima kutakuwa na sababu. Na mimi namtuma anakataaje?
 
Nimemwambia tukutane guest house. Kawahi sababu kwao ni karibu. Kachukua room ila hakulipa mpaka nije mimi.

Nimefika room nikampa pesa aende kulipa hataki. Tumebishana masaa mawili mwishowe kaenda kalipa. Karudi namuliza umeandikisha na jina. Anasema hawezi andikisha jina lake nikaandike langu.

Huu si ujeuri kabisa? Yaani pesa kaenda lipa yeye anataka litumike jina langu kwenye kitabu cha guest?huyu kweli atanifaa kumuwowa?naona kama hawezi jishusha hivi je kwenye ndoa si ndo atanipanda kichwani.

Nimemwambia akaandikishe jina kagoma kabisa. Basi tumekaa kuanzia saa 12 jioni jana mpaka saa 6 usiku kila mtu anategea mwenzake ndo akaandike jina. Nikaona ujinga. Nikaamka kama naenda kuandikisha.

Nikatlka nje nikapanda bodaboda nikarudi zangu home na simu nikazima. Sipendi wanawake wajeuri kabisa.
majina ya gesti tunaandika wanaume we mvulana
 
Na hakuna mwanaume inabidi ajitangaze kuwa ni mwanaume. Huyo atakuwa demu. Ndicho ulichofanya. Simba huwa hapiti porini akijitangaza kuwa yeye ni Simba.
 
Nimemwambia tukutane guest house. Kawahi sababu kwao ni karibu. Kachukua room ila hakulipa mpaka nije mimi.

Nimefika room nikampa pesa aende kulipa hataki. Tumebishana masaa mawili mwishowe kaenda kalipa. Karudi namuliza umeandikisha na jina. Anasema hawezi andikisha jina lake nikaandike langu.

Huu si ujeuri kabisa? Yaani pesa kaenda lipa yeye anataka litumike jina langu kwenye kitabu cha guest?huyu kweli atanifaa kumuwowa?naona kama hawezi jishusha hivi je kwenye ndoa si ndo atanipanda kichwani.

Nimemwambia akaandikishe jina kagoma kabisa. Basi tumekaa kuanzia saa 12 jioni jana mpaka saa 6 usiku kila mtu anategea mwenzake ndo akaandike jina. Nikaona ujinga. Nikaamka kama naenda kuandikisha.

Nikatlka nje nikapanda bodaboda nikarudi zangu home na simu nikazima. Sipendi wanawake wajeuri kabisa.
Kaeni mlee watoto mjenge familia yenu
 
Back
Top Bottom