Huyu mwanamke wangu wa nje kanitamkia kuwa anahitaji siku moja tufanye “Threesome” nimeogopa sana mood ya kuendelea nae imepotea kabisa

nyboma

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2021
Posts
2,308
Reaction score
7,366
Hii hali imenikuta wikiendi hii, kuna mchepuko wangu mmoja ni mtumishi wizara moja hapa dodoma nikaona si vibaya wikiendi tutoke nae baada ya kula na kunywa tukaamua tukapumzike.

Kama kawaida baada ya romance nikaanza kumpelekea moto “Nilidumbukiza nyama kwenye kiota chake vilivyo hadi nikamwaga” wakati wa mapumziko katika kubadilishana mawazo akaniambia

“Mr. Nyboma kuna jambo nataka nikushirikishe nikamwambia kuwa huru nakusikiliza na hii January nikajua huyu hana jipya tofouti ya kuniomba pesa ya pango ama ada kwa ajili ya mtoto wake.”

Si akaniambia “ Mr unaonaje tukijaribu threesome? Siku hiyo nitamuita rafiki yangu tushiriki wote" aisee nilipigwa na butwaa maana binti yule ni msomi mzuri, mrembo na anatabia njema sana hivyo sikutegemea kama anamaanisha kweli ama anatania ila aliniambia yuko serious kwenye ombi lake hilo.

Nilimjibu tulia nitakuambia lini nitakuwa tayari kwa mtanange, sasa leo ndio napata moja moto moja baridi nikawa natafakari kauli ile moja kwa moja nikahisi “huwenda ni mchezo wa mwanamke huyu kufanya mchezo huu na rafiki na kuna mwanamme anakuwa ansimamia shoo”

Hivyo naombeni ushauri kwa wale ambao washajaribu hii kitu inakuaje? Je ni addictive ama unaweza jaribu mara moja ukaipotezea na usitamani kuifanya tena.
 
Kama kictive ama unaweza jaribu mara moja ukaipotezea na usitamani kuifanya tena.
Safi sana Mkuu. Yani ogopa hio SANA kwa ww binafsi.. na sababu umeleta mada TUTAKUPA MSAADA. Tupatie namba yake tu Ujionee mwenyewe.. sababu TUPO hapa tutakusaidia kazi hio Fulu 😂😂😂
 
Hii hali imenikuta wikiendi hii, kuna mchepuko wangu mmoja ni mtumishi wizara moja hapa dodoma nikaona si vibaya wikiendi tutoke nae baada ya kula na kunywa tukaamua tukapumzike.

Kabla hata ya Kuwa Na mwanamke wa nje, ukiacha huu ujinga unaosema; Pitia ule uzi wa changamoto Na shuhuda watu waliotoa walizopitia wakiwa wadogo zitakusaidia!

Watoto wanateseka Sana Kwa ajili ya mambo ya wazazi wao kuachana Na ujinga Kama huo, kabla mtu ajaanza kufanya ujinga aangalie watoto wake vizuri then anaweza badilika.
 
Hii hali imenikuta wikiendi hii, kuna mchepuko wangu mmoja ni mtumishi wizara moja hapa dodoma nikaona si vibaya wikiendi tutoke nae baada ya kula na kunywa tukaamua tukapumzike.

Kama kawaida baada ya romance nikaanza kumpelekea moto “Nilidumbukiza nyama kwenye kiota chake vilivyo hadi nikamwaga” wakati wa mapumziko katika kubadilishana mawazo akaniambia

“Mr. Nyboma kuna jambo nataka nikushirikishe nikamwambia kuwa huru nakusikiliza na hii January nikajua huyu hana jipya tofouti ya kuniomba pesa ya pango ama ada kwa ajili ya mtoto wake.”

Si akaniambia “ Mr unaonaje tukijaribu threesome? Siku hiyo nitamuita rafiki yangu tushiriki wote" aisee nilipigwa na butwaa maana binti yule ni msomi mzuri, mrembo na anatabia njema sana hivyo sikutegemea kama anamaanisha kweli ama anatania ila aliniambia yuko serious kwenye ombi lake hilo.

Nilimjibu tulia nitakuambia lini nitakuwa tayari kwa mtanange, sasa leo ndio napata moja moto moja baridi nikawa natafakari kauli ile moja kwa moja nikahisi “huwenda ni mchezo wa mwanamke huyu kufanya mchezo huu na rafiki na kuna mwanamme anakuwa ansimamia shoo”

Hivyo naombeni ushauri kwa wale ambao washajaribu hii kitu inakuaje? Je ni addictive ama unaweza jaribu mara moja ukaipotezea na usitamani kuifanya tena.
Huenda anafanya! Acha ujinga. Huo ndio mchezo wake.
 
Mkuu sio kila cover la kitabu ndicho kilichomo ndani...
Muonekano mzuri lakini ishi au safari nae ndio utajua tabia.....
 
Back
Top Bottom