Huyu mwanamke wangu wa nje kanitamkia kuwa anahitaji siku moja tufanye “Threesome” nimeogopa sana mood ya kuendelea nae imepotea kabisa

Mkuu hebu ni PM namba ya huyo mchepuko ili nimshauri, tafadhali mkuu nakuomba sana.
 
Msomi hlf anatabia njema ohoooo

Huwajui wasomi wewe wachache sana m,wenye tabia nzuri
 
Msomi hlf anatabia njema ohoooo

Huwajui wasomi wewe wachache sana m,wenye tabia nzuri
Hio tabia njema labda anamaanisha hii hapa chini.
Siku hizi ukimsikia mtu anasema sioi sura naoa mwanamke mwenye tabia njema ujue anamaanisha hii kitu maana ndio inacover upungufu wa tabia njema.
 
Yuko wizara gn
 
Usijaribu mkuu.. huwa inakuwa (nature) yaani ina malipizi kama utamfanyia inabidi usishangae siku ukisikia mtoto wako anafanyiwa au mke wako yaani ndani ya damu yako.. kama upo tayari nenda kafanye tu
 
Nmehonga sana mademu ili nipate threesome wamegoma,halafu ww mpuuzi mmoja unapewa bure bure unakataa/unatafakari.ungekuwa karibu ningekuchapa makofi kukuzindua kidogo akili,KAWAPIGE MASHINE WEWE

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Acha uvivu njemba. Peleka moto mpaka wote waelewe na wakubali wewe ni nyboma. Ebu muda huu huu piga simu mkutane uwape haki zao.

Na nishaandaa mashtaka ya kukufungulia kesi ukizubaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…