Huyu Mwandishi kuna kitu anakitafuta kwa Yanga. Atakipata tu muda si mrefu

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Kama matches zetu watu hawaji au teams tunazocheza nazo kama CBE na IFM hazina mashabiki kwani ni kosa letu? Aache ufalah. Sawa Libya huwezi linganisha na Ethiopia lakini awe makini sana.

Naona kama anatumika kutudhalilisha
Yanga. Ni mpuuzi sana.
Screenshot_2024-09-16-13-14-49-881_com.instagram.android~2.jpg
 
Kama matches zetu watu hawaji au teams tunazocheza nazo kama CBE na IFM hazina mashabiki kwani ni kosa letu? Aache ufalah. Sawa Libya huwezi linganisha na Ethiopia lakini awe makini sana.

Naona kama anatumika kutudhalilisha
Yanga. Ni mpuuzi sana.
View attachment 3097410
Nani aje kushangilia kitimu uchwala!! Kitimu kimewatoa jasho hadi aibu
 
Daaah sio poa!! Naona mechi n mazoezi tu.
All the best
 
Mpe taarifa Ethiopia ni kubwa kuliko Libya na kisoka ni kubwa sana na imeshawahi kuchukua ubingwa
Uwanja uliojaa Jana hauna tofauti na ule uliojaa pale amani Zanzibar kati Pancho na Wete kombe la Zanzibar
 
Naomba nimjue huyo muandishi. Lakini pia kaa ukijua waandishi hawa wana mlengo wao kwa ajili ya kujaribu kusawazisha mambo fulani. Yote kutafuta pa kutokea baada ya lile vaga la jana. Zinatafutwa small wins
 
Mpe taarifa Ethiopia ni kubwa kuliko Libya na kisoka ni kubwa sana na imeshawahi kuchukua ubingwa
Uwanja uliojaa Jana hauna tofauti na ule uliojaa pale amani Zanzibar kati Pancho na Wete kombe la Zanzibar

HEBU MUWEKEE HAPA RANK ZA FIFA ZA TEAM ILE YA CBE NA AL AHLY TRIPOLI
 
Mpe taarifa Ethiopia ni kubwa kuliko Libya na kisoka ni kubwa sana na imeshawahi kuchukua ubingwa
Uwanja uliojaa Jana hauna tofauti na ule uliojaa pale amani Zanzibar kati Pancho na Wete kombe la Zanzibar
Screenshot_2024-09-16-22-28-20-093_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2024-09-16-22-28-11-654_com.android.chrome.jpg
 
Kama matches zetu watu hawaji au teams tunazocheza nazo kama CBE na IFM hazina mashabiki kwani ni kosa letu? Aache ufalah. Sawa Libya huwezi linganisha na Ethiopia lakini awe makini sana.

Naona kama anatumika kutudhalilisha
Yanga. Ni mpuuzi sana.
View attachment 3097410
Makolo hamnazo kweli, wanajifariji na sare ya 0 - 0 wakati Tripoli wanakuja kutoa 1 - 1.
 
Hongera kwa 5imba ni moja ya mafanikio makubwa kama lile la wasapu chaneli.
NB: kauli ya mzee Rage iheshimiwe.
 
Kama matches zetu watu hawaji au teams tunazocheza nazo kama CBE na IFM hazina mashabiki kwani ni kosa letu? Aache ufalah. Sawa Libya huwezi linganisha na Ethiopia lakini awe makini sana.

Naona kama anatumika kutudhalilisha
Yanga. Ni mpuuzi sana.
View attachment 3097410
TIMU yenye TUZO ya MASHABIKI VICHAA MAZOMBI NA UMBUMBU wanafurahia kutoka sare na wenyeji kujaza uwanja.
 
Back
Top Bottom