Huyu Mwandishi kuna kitu anakitafuta kwa Yanga. Atakipata tu muda si mrefu

Makolo kama mnaona CBE ni timu ndogo tuleteeni wa kwenu mnaemuona mkubwa! Mkiona wivu mje wenyewe mkachezee mkonyokoo wa Garmondi maana mmeshazoea bebi zetu..
 
Naona simba kila siku mnazidi kuhamisha magoli now mnaanza kupima mafanikio kwa uwanja kuwa na mashabiki... Yanga inakimbiza mwizi taratibu bila kelele, kelele anapiga mwizi mwenyewe.
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…