Huyu mwenzenu alikimbiwa na mke kisa ni kumlisha kauzu na dona kila siku

Huyu mwenzenu alikimbiwa na mke kisa ni kumlisha kauzu na dona kila siku

Huyo mke pengine angepewa fedha ya matumizi ya mwezi Kama laki nne hivi, angemlisha mme wake hilo dona na kauzu ili abakiwe na fedha ya vikoba na vikundi, lakini mme kubana matumizi kaona anamtesa
Laki nneeeee (kwa sauti ya wapo wapo)? Mtu kushika laki ilikuwa ni kwa matajiri tuu. Mshahara wa mfanyakazi wa serikali maana ndo walikuwa waajiriwa tu ilikuwa kuanzia sh. 20 mpaka mia moja kama sikosei.
 
Watoto wa ki sure mna tabu! Ni dagaa, wengine wanaita misumari.
Hahaa hapana mi sio mtoto wa kishua ila wakati fulani majina ya vitu yanatofautiana tu kutoka sehem moja na nyingine au kipindi Fulani na fulani
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama Sky alinywea kikombe cha kijani chenye alama ya mwenge basi alikuwepo. Vikombe vya uhuru ambavyo kila mtoto kila mahali hapa nchini alipewa.
Dada niah ninakumbuka kunywa uji wa bulgar nursery na kuzaliwa kwa Chama tulipewa nafasi maalum ya kuimba na tulitengewa wa masinia yetu ya wali na pofu.
 
Dada niah ninakumbuka kunywa uji wa bulgar nursery na kuzaliwa kwa Chama tulipewa nafasi maalum ya kuimba na tulitengewa wa masinia yetu ya wali na pofu.
Burga niliila primary nikiwa shule ya masista. Ilikuwa tamu na maziwa toka USA kipindi kile.
Ukweli maisha yalinoga sana. Imagine unakwenda secondary unapewa sabuni, Mikate (modesi), mikate ya chai, nyama kila siju jioni au samaki siku ya ijumaa. Hata chupi tulipewa mara moja msaada toka Cyprus wakati huo mwalimu walikuwa marafiki na Askofu Makarios ambayo alikuwa Rais wa nchi hiyo.
 
Jamaa nae alifeli vibaya,anaishi na mke kama yuko maghetoni..ukioa full draft Leo hen,kesho nyama ya ng'ombe,mixer za majani na Nini fish na mazaga kibao..hiyo ya dongo vs kauzu daily ni msosi wa gheto,na fresh tu..
 
Kwa sasa kauzu kilo moja shilingi 10000 , tena linagombewa
 
Kwa sasa kauzu kilo moja shilingi 10000 , tena linagombewa
Hiki kitweo kinatufaa sisi apeche alolo, ukiweka dagaa kilo mbili kwenye ndoo, huhitaji fridge na ukikosa nyama unafungua ndoo.
 
Back
Top Bottom