Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwaiyo na ww huwa unakiamin?"Nitakuwa na wewe kwenye shida na raha " kumbe hichi kiapo kinakuwaga cha uniya tu.
Nilitamani kuuliza piaKauzu ni mboga gani?
Wewe ulikuwepo duniani?Hii kesi ilipotokea wengi humu walikua hawajazaliwa.
Neno dagaa nimekuja kulisikia kwenye miaka ya themanini alipoanza kutega dagaa katika ziwa victoria.Umeangalia mwaka wa matukio na faini waliyotozwa!
Kama Sky alinywea kikombe cha kijani chenye alama ya mwenge basi alikuwepo. Vikombe vya uhuru ambavyo kila mtoto kila mahali hapa nchini alipewa.Wewe ulikuwepo duniani?
Laki nneeeee (kwa sauti ya wapo wapo)? Mtu kushika laki ilikuwa ni kwa matajiri tuu. Mshahara wa mfanyakazi wa serikali maana ndo walikuwa waajiriwa tu ilikuwa kuanzia sh. 20 mpaka mia moja kama sikosei.Huyo mke pengine angepewa fedha ya matumizi ya mwezi Kama laki nne hivi, angemlisha mme wake hilo dona na kauzu ili abakiwe na fedha ya vikoba na vikundi, lakini mme kubana matumizi kaona anamtesa
Hahaa hapana mi sio mtoto wa kishua ila wakati fulani majina ya vitu yanatofautiana tu kutoka sehem moja na nyingine au kipindi Fulani na fulaniWatoto wa ki sure mna tabu! Ni dagaa, wengine wanaita misumari.
Dada niah ninakumbuka kunywa uji wa bulgar nursery na kuzaliwa kwa Chama tulipewa nafasi maalum ya kuimba na tulitengewa wa masinia yetu ya wali na pofu.Kama Sky alinywea kikombe cha kijani chenye alama ya mwenge basi alikuwepo. Vikombe vya uhuru ambavyo kila mtoto kila mahali hapa nchini alipewa.
Burga niliila primary nikiwa shule ya masista. Ilikuwa tamu na maziwa toka USA kipindi kile.Dada niah ninakumbuka kunywa uji wa bulgar nursery na kuzaliwa kwa Chama tulipewa nafasi maalum ya kuimba na tulitengewa wa masinia yetu ya wali na pofu.
Kwani hawakuambiana kua watayajenga maisha pamoja kwenye dhiki na raha?
Hiki kitweo kinatufaa sisi apeche alolo, ukiweka dagaa kilo mbili kwenye ndoo, huhitaji fridge na ukikosa nyama unafungua ndoo.