Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
- Thread starter
-
- #21
Maneno kama haya mimi nayaita ni kashfa na kejeli.....kama kweli angekuwa mwamba asingekuwa ananililia shida zakeMimi akiniambia wenzio Wana maendeleo kukuliko na mm namwambia wazee wenzio kama ww Wana Magari mbona husemi?
Hapana bhana sio kweliUna mzazi bora sana anakuambia hayo maneno ili upate uchungu moyoni mwako uongeze kasi yako ya utafutaji mwisho wa siku wewe ndio utafaidika kwa kuishi maisha mazuri
Tena anatakiwa aje kuchukua hicho kitanda chake unacholalia ili ulale chini akili ikukae sawa
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Mkuu kilakitu anachokitumia ni mali yangu....na mimi ni miongoni mwa vijana wasiokuwa na maisha magumu ....Una mzazi bora sana anakuambia hayo maneno ili upate uchungu moyoni mwako uongeze kasi yako ya utafutaji mwisho wa siku wewe ndio utafaidika kwa kuishi maisha mazuri
Tena anatakiwa aje kuchukua hicho kitanda chake unacholalia ili ulale chini akili ikukae sawa
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app