Huyu mzazi wangu yukoje?😁😁

Huyu mzazi wangu yukoje?😁😁

Mimi akiniambia wenzio Wana maendeleo kukuliko na mm namwambia wazee wenzio kama ww Wana Magari mbona husemi?
Maneno kama haya mimi nayaita ni kashfa na kejeli.....kama kweli angekuwa mwamba asingekuwa ananililia shida zake
 
Sio kila mzee ana busara, hata wahuni nao huzeeka 😂

Mvumilie tu mshua huyo,kuna wengine wakianza kuzeeka wanakuwa miyeyusho, utamfanyaje sasa na ndio mzazi wako kakulea japo ulimpa kero zisizo na kipimo
 
Una mzazi bora sana anakuambia hayo maneno ili upate uchungu moyoni mwako uongeze kasi yako ya utafutaji mwisho wa siku wewe ndio utafaidika kwa kuishi maisha mazuri

Tena anatakiwa aje kuchukua hicho kitanda chake unacholalia ili ulale chini akili ikukae sawa

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Hapana bhana sio kweli
 
Una mzazi bora sana anakuambia hayo maneno ili upate uchungu moyoni mwako uongeze kasi yako ya utafutaji mwisho wa siku wewe ndio utafaidika kwa kuishi maisha mazuri

Tena anatakiwa aje kuchukua hicho kitanda chake unacholalia ili ulale chini akili ikukae sawa

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Mkuu kilakitu anachokitumia ni mali yangu....na mimi ni miongoni mwa vijana wasiokuwa na maisha magumu ....
 
Ndo wazazi wakibongo tuwavumilie ukimwambia huna hela anaanza kukasirika na kukata simu.
 
Ni kawaida kama anatumia dose ya muda mrefu, huwa akili zao zinafyetuka kidogo
 
Babaangu Ni mtu wa ajabu Sana. Ana miaka 90 Sasa. Yeye hakuwahi kuacha kunipa kila nnachotaka licha ya kuwa na uwezo wa kawaida. Nikiwa chuo ada nilikua nalipiwa 60% na serikali hi nyingine alinilipia vizuri TU licha ya kujua Ni ngum upatkanaji wake.
Nilishagundua Siri ya mzee Kwamba kila Mara hupenda wanae wamsogelee, wapige nae stori. Na hasa anapenda kuulizwa maswali ya kipindi kilichopita. Historia na asili yao bill kusahau ye Ni mwanaCCM hai .
Nilipomaliza chuo nilimuomba milioni 2 nijitegemee. Akanambia sikia mwanangu m 2 sa hivi uongo.. andika namba hii mpigie mzee ( jina kapuni) niongee nae. Basi akaongea nae . Akamwambia mwanangu kesho aja huko mpe dume 2 za ngombe nna shida kwelikweli. Basi mshua masta asubuhi hiyo kuchukua ngombe 2. Nikauza nikapata chochote. Natisha nacho Hadi leo.
Upande mwingine mzee hapendi mtoto asie na ukaribu nae. Ukiwa hivyo anakukaushia TU. Si Kwamba hawapendi! Laah! Anawapenda sema ndo ile hata stori nae hawana kwa hiyo huhisi LabdA hawamkubali.
Ni ajabu mimi Ni mdogo kabisa lakini ndugu zangu wakubwa hawajui na hawatajua kuishi nae ili wale maisha. So jifunze kuishi na mzee
 
Back
Top Bottom