Yaani anatufanya watoto wadogo na huo uongo wake๐Alikua anajiita litutumbwe, saivi ndo ivo, ngoja tuone atakuja na jina gani tena....
Hivi kumbe litutumbwe ndio yuleyule na tutuberti๐คฃ๐คฃ๐คฃAlikua anajiita litutumbwe, saivi ndo ivo, ngoja tuone atakuja na jina gani tena....
Hivi kumbe litutumbwe ndio yuleyule na tutuberti[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu unasemaje? Sijakuelewa.Wadau habarini kama kawaida yangu kuleta visa vyangu mbalimbali kwalengo la kujifunza na kuuaminisha umma juu ya mambo kadhawakadha
Ilikuwa ni Jumapili moja yamwzi april nilikua masaki na nilialikwa na mama mmoja Mzungu raia wa Marekani ambae alikua ni muumini mwenzangu kanisani
Sasa nafika alikua ameandaa chakula na nyama ilikuemo... baada ya kuongea kidogo alitakiwa akachukue mayonaizi jikoni kwenye refrigerator yakule...
Kuna mtoto wake dogo akawa anachukua zile nyama anakwenda kuficha kwenye chumba kingine mimi namchora tu
Yaani I think ilikua ni kama jokes kwao, amedekezwa mno... mara anachukua tena anazileta mezani...
Mama yake anasema tu wee fulani achaa ila kwa kiingereza...
Sasa yule mama akawa anapitisha juice tundu la pua OMG na kwenda tumboni... yaani ana pipe yake anaitumia kufanya hivo... na alifanya hivyo tukiwa wawili sasa...
Hio ni saa 11 hivi apo...
Nikajifanya kushtuka ila sikushtuka ataa kwa sabb hakuna kipya kwangu...
Nikajua tu ana nguvu za ziada
Nikaanza kumletea ukorofi as alinichukulia layman ...
Kwanza nikaibana ile pipe kwa macho yangu tu,akashtuka mpaka juice ikamwagika...
Hajatulia nikatazama juu ya ceiling.. Nikazikamata zile material maalum za ceiling na kuwa kama nazipenyua zitoke juu
Oooh Tutu not like that,akalalama mno Basi kufikia apo kila mtu akawa amemjua mwenzake ni mtu waaina gani
Akawa anacheka tu, ceiling nilizikunja kunja baadae zikarudi kuwa sawa. Haya mambo utoambiwa nayeyote yule ni elimu pana mno...
Kwa kumsaprize wkati wa kuondoka nikapita ukutani kavu kavu mpaka nje...mpaka leohaamini kua ni mimi ameniganda mno awe karibu nami nimfundishe maarifa
Anapigasimu namuambia nipo home,akashangaa mno kwa sababukilikua kitendo cha dk2 tu.
๐๐ Wewe huoni mfanano wa majina na stories?Hivi kumbe litutumbwe ndio yuleyule na tutuberti๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Leejay49litutumbwe
Angalia na hii pia wataipiga bann..usijesema sijakwambia ๐คฃLakin sawa tutafungua nyingine๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐
๐๐๐ Nilihisi tu ni huyo litutumbwe ๐๐ hili jina huwa nalitaja hapa home wanauliza ndio nini๐๐๐Leejay49
Kimbia ujionee nilimuonya Kaka ako
@litumbutwe tutuberti first comment kabisa๐คฃ๐คฃ๐คฃ aangalie atapigwa bann akakaidi..ona sasa ashakula za uso ata mate yangu hayajakauka ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐โโ๏ธ
Siku mbili zijazo atakuja kivingine ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ
Ms eyes๐๐๐ Nilihisi tu ni huyo litutumbwe ๐๐ hili jina huwa nalitaja hapa home wanauliza ndio nini๐๐๐
amepata alichostahili๐๐ ๐๐๐๐Leejay49
Kimbia ujionee nilimuonya Kaka ako
litutumbwe tutuberti first comment kabisa๐คฃ๐คฃ๐คฃ aangalie atapigwa bann akakaidi..ona sasa ashakula za uso ata mate yangu hayajakauka ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐โโ๏ธ
Siku mbili zijazo atakuja kivingine ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ
Leejay49amepata alichostahili๐๐ ๐๐๐๐
Akija tena kivingine nitaendelea kukusanua๐๐๐๐๐๐๐๐nilikua sijajua kama ni yeye eti, leo ndo umenisanua bestie ๐
nimekupata Lovie Lady appreciates ue ๐๐คAkija tena kivingine nitaendelea kukusanua๐๐๐๐๐๐๐๐
๐ฅฐ๐ค๐ค๐คnimekupata Lovie Lady appreciates ue ๐๐ค
Leejay49 hapana em nitag mambo ya ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐Yuโฆโฆโฆโฆโฆniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiik๐น๐น๐นtupumzike sasa...dadako ana uzi mpya kule umeuona๐๐
Bange lenye mbegu zake originalEnhee!!, bangi inapukuchuliwa aje ??, tupe darsa.
Nimeona nikasema hiiiiii๐คฃ๐คฃ๐คฃMkuu Jeep rubicon njoo huku ulete 25 million mkuu tutuberti akuoneshe maajabu ya dunia ๐คฃ๐คฃ๐คฃ