Huyu mzungu alinichukulia poa, nimemuumbua

Huyu mzungu alinichukulia poa, nimemuumbua

Wadau habarini kama kawaida yangu kuleta visa vyangu mbalimbali kwalengo la kujifunza na kuuaminisha umma juu ya mambo kadhawakadha

Ilikuwa ni Jumapili moja yamwzi april nilikua masaki na nilialikwa na mama mmoja Mzungu raia wa Marekani ambae alikua ni muumini mwenzangu kanisani

Sasa nafika alikua ameandaa chakula na nyama ilikuemo... baada ya kuongea kidogo alitakiwa akachukue mayonaizi jikoni kwenye refrigerator yakule...

Kuna mtoto wake dogo akawa anachukua zile nyama anakwenda kuficha kwenye chumba kingine mimi namchora tu

Yaani I think ilikua ni kama jokes kwao, amedekezwa mno... mara anachukua tena anazileta mezani...

Mama yake anasema tu wee fulani achaa ila kwa kiingereza...

Sasa yule mama akawa anapitisha juice tundu la pua OMG na kwenda tumboni... yaani ana pipe yake anaitumia kufanya hivo... na alifanya hivyo tukiwa wawili sasa...

Hio ni saa 11 hivi apo...
Nikajifanya kushtuka ila sikushtuka ataa kwa sabb hakuna kipya kwangu...

Nikajua tu ana nguvu za ziada
Nikaanza kumletea ukorofi as alinichukulia layman ...

Kwanza nikaibana ile pipe kwa macho yangu tu,akashtuka mpaka juice ikamwagika...

Hajatulia nikatazama juu ya ceiling.. Nikazikamata zile material maalum za ceiling na kuwa kama nazipenyua zitoke juu

Oooh Tutu not like that,akalalama mno Basi kufikia apo kila mtu akawa amemjua mwenzake ni mtu waaina gani

Akawa anacheka tu, ceiling nilizikunja kunja baadae zikarudi kuwa sawa. Haya mambo utoambiwa nayeyote yule ni elimu pana mno...

Kwa kumsaprize wkati wa kuondoka nikapita ukutani kavu kavu mpaka nje...mpaka leohaamini kua ni mimi ameniganda mno awe karibu nami nimfundishe maarifa

Anapigasimu namuambia nipo home,akashangaa mno kwa sababukilikua kitendo cha dk2 tu.
Mkuu unasemaje? Sijakuelewa.
 
litutumbwe

Angalia na hii pia wataipiga bann..usijesema sijakwambia 🤣Lakin sawa tutafungua nyingine🤣🤣🤣👋👋👋
Leejay49
Kimbia ujionee nilimuonya Kaka ako
litutumbwe tutuberti first comment kabisa🤣🤣🤣 aangalie atapigwa bann akakaidi..ona sasa ashakula za uso ata mate yangu hayajakauka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🏃‍♂️

Siku mbili zijazo atakuja kivingine 🤣🤣🤣🤣🤣🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Leejay49
Kimbia ujionee nilimuonya Kaka ako
@litumbutwe tutuberti first comment kabisa🤣🤣🤣 aangalie atapigwa bann akakaidi..ona sasa ashakula za uso ata mate yangu hayajakauka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🏃‍♂️

Siku mbili zijazo atakuja kivingine 🤣🤣🤣🤣🤣🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
😂😂😂 Nilihisi tu ni huyo litutumbwe 😂😂 hili jina huwa nalitaja hapa home wanauliza ndio nini😂😂😂
 
Leejay49
Kimbia ujionee nilimuonya Kaka ako
litutumbwe tutuberti first comment kabisa🤣🤣🤣 aangalie atapigwa bann akakaidi..ona sasa ashakula za uso ata mate yangu hayajakauka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🏃‍♂️

Siku mbili zijazo atakuja kivingine 🤣🤣🤣🤣🤣🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
amepata alichostahili😊😅😂😂😂🙌
 
Back
Top Bottom