Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,757
- 11,922
Yaani anatufanya watoto wadogo na huo uongo wake😂Alikua anajiita litutumbwe, saivi ndo ivo, ngoja tuone atakuja na jina gani tena....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani anatufanya watoto wadogo na huo uongo wake😂Alikua anajiita litutumbwe, saivi ndo ivo, ngoja tuone atakuja na jina gani tena....
Hivi kumbe litutumbwe ndio yuleyule na tutuberti🤣🤣🤣Alikua anajiita litutumbwe, saivi ndo ivo, ngoja tuone atakuja na jina gani tena....
Hivi kumbe litutumbwe ndio yuleyule na tutuberti[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu unasemaje? Sijakuelewa.Wadau habarini kama kawaida yangu kuleta visa vyangu mbalimbali kwalengo la kujifunza na kuuaminisha umma juu ya mambo kadhawakadha
Ilikuwa ni Jumapili moja yamwzi april nilikua masaki na nilialikwa na mama mmoja Mzungu raia wa Marekani ambae alikua ni muumini mwenzangu kanisani
Sasa nafika alikua ameandaa chakula na nyama ilikuemo... baada ya kuongea kidogo alitakiwa akachukue mayonaizi jikoni kwenye refrigerator yakule...
Kuna mtoto wake dogo akawa anachukua zile nyama anakwenda kuficha kwenye chumba kingine mimi namchora tu
Yaani I think ilikua ni kama jokes kwao, amedekezwa mno... mara anachukua tena anazileta mezani...
Mama yake anasema tu wee fulani achaa ila kwa kiingereza...
Sasa yule mama akawa anapitisha juice tundu la pua OMG na kwenda tumboni... yaani ana pipe yake anaitumia kufanya hivo... na alifanya hivyo tukiwa wawili sasa...
Hio ni saa 11 hivi apo...
Nikajifanya kushtuka ila sikushtuka ataa kwa sabb hakuna kipya kwangu...
Nikajua tu ana nguvu za ziada
Nikaanza kumletea ukorofi as alinichukulia layman ...
Kwanza nikaibana ile pipe kwa macho yangu tu,akashtuka mpaka juice ikamwagika...
Hajatulia nikatazama juu ya ceiling.. Nikazikamata zile material maalum za ceiling na kuwa kama nazipenyua zitoke juu
Oooh Tutu not like that,akalalama mno Basi kufikia apo kila mtu akawa amemjua mwenzake ni mtu waaina gani
Akawa anacheka tu, ceiling nilizikunja kunja baadae zikarudi kuwa sawa. Haya mambo utoambiwa nayeyote yule ni elimu pana mno...
Kwa kumsaprize wkati wa kuondoka nikapita ukutani kavu kavu mpaka nje...mpaka leohaamini kua ni mimi ameniganda mno awe karibu nami nimfundishe maarifa
Anapigasimu namuambia nipo home,akashangaa mno kwa sababukilikua kitendo cha dk2 tu.
😂😂 Wewe huoni mfanano wa majina na stories?Hivi kumbe litutumbwe ndio yuleyule na tutuberti🤣🤣🤣
Leejay49litutumbwe
Angalia na hii pia wataipiga bann..usijesema sijakwambia 🤣Lakin sawa tutafungua nyingine🤣🤣🤣👋👋👋
😂😂😂 Nilihisi tu ni huyo litutumbwe 😂😂 hili jina huwa nalitaja hapa home wanauliza ndio nini😂😂😂
Ms eyes😂😂😂 Nilihisi tu ni huyo litutumbwe 😂😂 hili jina huwa nalitaja hapa home wanauliza ndio nini😂😂😂
amepata alichostahili😊😅😂😂😂🙌Leejay49
Kimbia ujionee nilimuonya Kaka ako
litutumbwe tutuberti first comment kabisa🤣🤣🤣 aangalie atapigwa bann akakaidi..ona sasa ashakula za uso ata mate yangu hayajakauka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🏃♂️
Siku mbili zijazo atakuja kivingine 🤣🤣🤣🤣🤣🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Akija tena kivingine nitaendelea kukusanua😂😂😂😂😂😂👋👋nilikua sijajua kama ni yeye eti, leo ndo umenisanua bestie 😊
nimekupata Lovie Lady appreciates ue 😚🤗Akija tena kivingine nitaendelea kukusanua😂😂😂😂😂😂👋👋
🥰🤗🤗🤗nimekupata Lovie Lady appreciates ue 😚🤗
Leejay49 hapana em nitag mambo ya 😂😂😂😂😂😂😂😂😂👋👋Yu……………niiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiik🌹🌹🌹tupumzike sasa...dadako ana uzi mpya kule umeuona😊😎
Bange lenye mbegu zake originalEnhee!!, bangi inapukuchuliwa aje ??, tupe darsa.
Nimeona nikasema hiiiiii🤣🤣🤣Mkuu Jeep rubicon njoo huku ulete 25 million mkuu tutuberti akuoneshe maajabu ya dunia 🤣🤣🤣