Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Video clip inayo endelea kusambaza huyu nabii akimtusi mama imenifikirisha sana
Thread 'Kadiri mnavyoteketeza watu makini ndivyo mnavyoibua machizi na vichaa' https://www.jamiiforums.com/threads...-ndivyo-mnavyoibua-machizi-na-vichaa.2461054/Video clip inayo endelea kusambaza huyu nabii akimtusi mama imenifikirisha sana
Kaka mshana UKISIKILIZA huyu jamaa mfumo aliuo utumia sio wa busara huyu mama ana watoto ana wajukuu ana familia, apingwe Kwa HOJA na si matusi, ata lissu asemwe kwa hoja sio kumbeza, haipendeziThread 'Kadiri mnavyoteketeza watu makini ndivyo mnavyoibua machizi na vichaa' https://www.jamiiforums.com/threads...-ndivyo-mnavyoibua-machizi-na-vichaa.2461054/
Alisha pelekwa hospitali Dodoma ikagundulika ana matatizo ya akili sasa karudia tenaNimesikiliza kidogo nikaona tu jamaa atakua akili yake ina changamoto sio kidogo hawa watu wapelekwe hospital huko sio kila mgonjwa akamatwe auawe mtaua watu wote..
Kutisha kudhuru watu, tena ni siku nyingi sema sasa hivi ndo kamgusa mkuuKafanya kosa gani
Ina matusi ya nguoni. Hasa lile tusi maarufu kwa wamama.. Sidhani kama atamaliza week hawajamla kiboga japo ndio starehe yakeVideo hujaweka na unaongea na kulalamika mwenyewe huyo Tito kamtukana nani?
Nasikia alipelekwa pale akatoka ilaa kipindi hicho alikua hajagusa watu mashuburi sasa hivi ndo kapiga kombola zito, asichekewe inadharirisha utu wa mtu,Ana changamoto ya afya ya akili, jamaa ni graduate wa Mirembe ana file lake pale.
Inasikitisha sana Kwa kweli, ukimchukia hali ya kila mtu ana mzazi, unaona kabisa hata ninge kua Mimi nisinge kubali mama yangu atukanwe hivoIna matusi ya nguoni. Hasa lile tusi maarufu kwa wamama.. Sidhani kama atamaliza week hawajamla kiboga japo ndio starehe yake
Atawafikia siku Moja tu huyu jamaaa ana tatizo kichwaniKamshataki ukila lia humu haitasaidia