Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Huyo ni kada mtiifu wa masisiyemu, ametumwa kutuvuruga tusifuatilie kesi ya Tundu LissuVideo clip inayo endelea kusambaza huyu nabii akimtusi mama imenifikirisha sana
Huyo ni kada mtiifu wa masisiyemu, ametumwa kutuvuruga tusifuatilie kesi ya Tundu LissuVideo clip inayo endelea kusambaza huyu nabii akimtusi mama imenifikirisha sana
Sina hakika, ila kama assest za mfumo ndo watu kama hawa basi kazi tunayo.Sio kwamba ni project ya mfumo?
Huo ni msukule wa mfumoUkiachana na mama kuwa kiongozi ana familia ana watoto na wajukuu ifike mahali tuweke utu mbele, tabia kama hizi sio za kuzisapoti kabisa, tupimane Kwa HOJA na si Kwa matusi na kudhalilishana
VIONGOZI waliona hivo, mwanzoni, Leo kawatembelea waoAtamfikia nani?
Masikini hao wako kimasilahi, usikute washa vuta chaoSijajua mwanangu ila watakua hawachezi mbali maana naona kama frequency zao moja hivi.
Viongozi hawana faida yoyote na mimi, wewe mpeleke mahakamani kama mama yako katukanwaHata hawa
VIONGOZI waliona hivo, mwanzoni, Leo kawatembelea wao
No way out amekaidi na apigwe.Huko kwingine unakowaza wampeleke ndo atapona?
Inasemekana Alisha kamatwa kitambo ikagundulika, kichwani Kuna shida akaachiwaNa kwanini hajakamatwa mpaka sasa? Au polisi wanamhujumu Rais wetu? Yaani mtu ajifanya kichaa kutimiza malengo yake? Km kichaa kwanini hayuko Mirembe? Polisi nao siku hizi wamekuwa midebwedo! Polisi hizi kelele za nyumbu wa chadema humu mitandaoni zinawatisha? Mnategemea kabisa itokee siku chadema watakuja kusifia jeshi la polisi nchi hii? Siku wakiisifu ujue kwisha habari yao! Hawana kazi tena!
Kumtukana rais kiasi hicho, project gani hiyoSio kwamba ni project ya mfumo?
Aliebuni hiyo njia, dahHuyo ni kada mtiifu wa masisiyemu, ametumwa kutuvuruga tusifuatilie kesi ya Tundu Lissu
Hata mi nimeshangaa, duuuhSina hakika, ila kama assest za mfumo ndo watu kama hawa basi kazi tunayo.
Basi jamaaa anazitendea haki projectHuo ni msukule wa mfumo
Sawa kaka ngoja nifanye hivoViongozi hawana faida yoyote na mimi, wewe mpeleke mahakamani kama mama yako katukanwa
Mfumo unaweza kufanya jambo lolote kwa mtu yeyote kulingana na maagizo wanayopewa.Kumtukana rais kiasi hicho, project gani hiyo
Polisi wapo bize sana kuchunguza kutoweka kwa Polepole,kutekwa na kuuwawa kwa Ally Kibao na kupigwa risasi kwa Lissu.Na kwanini hajakamatwa mpaka sasa? Au polisi wanamhujumu Rais wetu? Yaani mtu ajifanya kichaa kutimiza malengo yake? Km kichaa kwanini hayuko Mirembe? Polisi nao siku hizi wamekuwa midebwedo! Polisi hizi kelele za nyumbu wa chadema humu mitandaoni zinawatisha? Mnategemea kabisa itokee siku chadema watakuja kusifia jeshi la polisi nchi hii? Siku wakiisifu ujue kwisha habari yao! Hawana kazi tena!