Huyu nabii Tito achukuliwe hatua za kisheria

Huyu nabii Tito achukuliwe hatua za kisheria

Kwa matusi hayo aliyoporomosha dah
Off course jamaa hayuko sawa,miaka ya zamani anapigana chuma alikuwa kidali mara ehh akaanza ujunya,wadau wakawa wanasema alitembea na mke wa mpemba ndy alimfanya hivyo 😄
Ila huyo watampiga sjui watamfanyajee Labda wampeleke mirembe 😄 tena

Ova
Daah huyo mpemba sio kazi..
 
Kama aliachiwa Mwaipopo na alichokifanya basi nadhani sioni haja ya kushughulika na Tito pia, tuwaache tu.
 
Kwa matusi yale sijuwi nani atamtetea 😄 au watapeleka mirembe
Sema dozi lazima wampe kabla

Ova
Kiongozi kutukanwa na wahuni sio sawa aisee ingawaje wawangalie hawa wanaotukana kama wapo sawa au laa..
 
Katukanwa Baba wa Taifa itakuwa nani mwingine aachwe😂 video nimeona zaidi ya mara nane na Kila nikitazama nacheka sana pamoja na kumsikitikia
 
Ona sasa ulivyo, unajua maana ya neno mkuu, mkuu wa wajanja, mkuu wa wajinga, mkuu wa kundi Fulani sasa hapo mfano wako unaenda na na nini
Wewe ni mwehu taja jina lake kabisa kuwa ni samia suluhu hassan sio kusema mama mama,sijui mama ametusiwa.
LAbda ni mama yako wewe usitake ku generalize kuwa kila mtu ni mama yake..mjinga wewe
 
Wewe ni mwehu taja jina lake kabisa kuwa ni samia suluhu hassan sio kusema mama mama,sijui mama ametusiwa.
LAbda ni mama yako wewe usitake ku generalize kuwa kila mtu ni mama yake..mjinga wewe
Ngoja nikuache, jamani ndugu zangu msijiingize kwenye ma mikopo kama hamna uwezo nayo, ona sasa mleta mada, kakopa mahela yamemshinda kuyarudisha kaanza malizia hasira Kwa kila mtu, dah kaka pole next time usikope kope mahela kaka kama uwezo mdogo wa kuyarudisha , ona unavo taptapa
 
Back
Top Bottom