Huyu nabii Tito achukuliwe hatua za kisheria

Huyu nabii Tito achukuliwe hatua za kisheria

Kama hakuna clip nu uchochez na uzushi , mleta mada apigwe ban
 
Sijuwi ana hali gani?
Na wamemuhifadhi wapi

Ova
 
Nabii Tito ni mgonjwa wa akili. Anapswa kuhifadhiwa Milembe kwa nguvu hadi apone badala ya kuhifadhiwa maabusu ya polisi au gerezani. Ni mgonjwa yule
 
Kaka hujaelewa vizuri nimesema huko nyuma namanisha kipindi cha NYUMA kaka hujaelewa kipi? Au nyuzi za NYUMA uliwahi sema. Dah hii dunia hii yani sahivi kila mtu, ukiombwa neno alitafsiri kiungwana anatafsiri tofauti
Aha sorry jamaa yangu sikuelewa,maana humu JF kuna majeuri ya kila rangi,ungesema kwenye post zilizopita ningekuelewa kirahisi
 
Tito kumla marinda ni fantasy yake haitakuwa adhabu

Hii ni project ya lumumba kubuy time mpaka trh 21
 
Back
Top Bottom