Sahihi kabisa lakini kumbuka wenye kukosoa kwa hoja na staha wameumizwa, kupotezwa na kuuliwa sasa wameibuka hawaKaka mshana UKISIKILIZA huyu jamaa mfumo aliuo utumia sio wa busara huyu mama ana watoto ana wajukuu ana familia, apingwe Kwa HOJA na si matusi, ata lissu asemwe kwa hoja sio kumbeza, haipendezi
Mkuu ninge weka hapa ila nime hofia itatolewa tu haisikiliziki, ni matusi tuMkuu hiyo clip Iko wapi? By the way amemtusi mama wa nani?
Habari mke wangu mtarajiwa❤️❤️❤️❤️Inauma sana! Kamtukana mama yako yupo zake Mwanza katulia
Kwanini akigusa wakubwa ndo ionekane tatizo? Wakati anasumbua watu huku mtaani hakuonekana kama threat? Apelekwe hospital asaidike.Nasikia alipelekwa pale akatoka ilaa kipindi hicho alikua hajagusa watu mashuburi sasa hivi ndo kapiga kombola zito, asichekewe inadharirisha utu wa mtu,
Huko hospitali atakua anapelekwa kila siku?Kwanini akigusa wakubwa ndo ionekane tatizo? Wakati anasumbua watu huku mtaani hakuonekana kama threat? Apelekwe hospital asaidike.
Atamfikia nani?Atawafikia siku Moja tu huyu jamaaa ana tatizo kichwani
Na wale wanawake wanaozunguka pembeni nao wana changamoto ya afya ya akili?Ana changamoto ya afya ya akili, jamaa ni graduate wa Mirembe ana file lake pale.
Sijajua mwanangu ila watakua hawachezi mbali maana naona kama frequency zao moja hivi.Na wale wanawake wanaozunguka pembeni nao wana changamoto ya afya ya akili?
Huko kwingine unakowaza wampeleke ndo atapona?Huko hospitali atakua anapelekwa kila siku?
Machizi inabidi yaongezeke sauti itafika mbali zaidiSahihi kabisa lakini kumbuka wenye kukosoa kwa hoja na staha wameumizwa, kupotezwa na kuuliwa sasa wameibuka hawa
Na kwanini hajakamatwa mpaka sasa? Au polisi wanamhujumu Rais wetu? Yaani mtu ajifanya kichaa kutimiza malengo yake? Km kichaa kwanini hayuko Mirembe? Polisi nao siku hizi wamekuwa midebwedo! Polisi hizi kelele za nyumbu wa chadema humu mitandaoni zinawatisha? Mnategemea kabisa itokee siku chadema watakuja kusifia jeshi la polisi nchi hii? Siku wakiisifu ujue kwisha habari yao! Hawana kazi tena!Video clip inayo endelea kusambaza huyu nabii akimtusi mama imenifikirisha sana
Mamako!Mkuu hiyo clip Iko wapi? By the way amemtusi mama wa nani?
Samahani mkuu hivi ulifaulu kweli shule ya msingi? Au ulivushwa tu ukiwa mweupe kichwaniSasa na wewe kwanini ulimchokoza mpaka akutukanie mama yako?
Mama yako yuko kijijini hana ili wala lile kubwa anatukanwa na nabii tito
Nimejiuliza sana maswali, alafu walivo vaa zile shungi yani jamaa haja kurupukaNa wale wanawake wanaozunguka pembeni nao wana changamoto ya afya ya akili?
Sio kwamba ni project ya mfumo?Sijajua mwanangu ila watakua hawachezi mbali maana naona kama frequency zao moja hivi.
Bw Tito si chizi.Nimejiuliza sana maswali, alafu walivo vaa zile shungi yani jamaa haja kurupuka
TUMIA AKILI ...NABII TITO TOKA ASIKIE KUWA MAFWELE NA ABDUL NI WAFIRAJI ANAFANYA FUJO WAMTEKE ....KASEMA ANATAKA KUTEKWA NA MAFWELE AU ABDUL LAZIMA WAMTEKE NA YEYE.Video clip inayo endelea kusambaza huyu nabii akimtusi mama imenifikirisha sana
Huyu namjuwa tokea akiwa kinyozi miaka 90++++Nimesikiliza kidogo nikaona tu jamaa atakua akili yake ina changamoto sio kidogo hawa watu wapelekwe hospital huko sio kila mgonjwa akamatwe auawe mtaua watu wote..