Mjerumani Chotara
Senior Member
- Jan 29, 2014
- 153
- 34
Jamaa aliingia cha kike bila kujua. Dem gume gume toka mimba inatungwa. Na jamaa anaonekaka alikua "Marioo" maana muda wote ni kulamba midomo.
ILA mi sijawaelewa wote waliochangia kwa kumsema tu EDZEN wanasahau kwamba kubwa alilolilalamikia ni DIDA kuchepuka tena kwa wanaume tofauti......swali iwe anakaa kwa mwanamke au nini je avumilie tu?we mwanaume utakayesoma hapa je ungevumilia?....jamani mapenzi hayajali umri wala kipato cha yeyote ni kupendana na heshima mimi nilishashuhudia mke ana mali mume hana na wakaishi kwa amani.Ivi mfano iwe DIDA angekuwa amehamia kwa EDZEN sawa,na mfano amepanga kama ilivyo kwa DIDA kodi ikaisha DIDA akiwa kwa ED AKALIPA YEYE kama kusaidiana maisha mngesema
MARIOO? au inatokea hata kama mwanaume nyumba kapanga yeye kodi hana upo kwake ukalipa mwanamke inakuwaje?
jamani! ukweli ni kwamba hata mwanamke akiwa tajiri vipi anahitaji mwanaume! ASIKWAMBIE mtu wanawake wengi wenye pesa na mwanzoni walijidai kukaa huku wakichepuka kwa madai kwamba wana pesa....miaka inavyozidi kwenda wanajuta wanalilia ILE STATUS AS A MARRIAGE WOMAN! SO PLEASE DONT JUDGE EDZEN AS A COWARD MAN!
na yamemgalagaza kweli
Huyu dogo mjinga,eti mapenzi yalimfanya akaishi kwa mwanamke,si aseme tu umarioo wake ndo ulimfanya akaishi kwa mwanamke,sasa alikuwa anaspy simu ya mke wake ili iweje sasa?badala ya kuwaza kusaka noti unaspy simu ya mkeo,si ukosa kazi huu,mimi mwanaume wa hivi siwezi kabisa
Kama hujui angalia TV 1 kuanzia Mon to Thu saa 12 jioni utamwona huyo Ezdii anasaka noti. Sasa huo uMarioo uusemao watoka wapi?? Kama sii Unaafiqi.
Kama hujui angalia TV 1 kuanzia Mon to Thu saa 12 jioni utamwona huyo Ezdii anasaka noti. Sasa huo uMarioo uusemao watoka wapi?? Kama sii Unaafiqi.
Mi namba one fan wa edzee but kanikera kuongelea masuala ya ndoa videoni kwani angenyamaza kuna ubaya?hzi mambo tv ni za kike
Kwenda kuhojiwa na ushahidi wa talaka mkononi lengo ni kutangaza yuko huru kama frame inayosubiri mpangaji. Atapata tu moyo mpweke mwingine uliozoea majanga wasukume gurudumu la MAHABA NABIP
Ila dogo kaongea kwa busara..mijanamke kama hii unaosha rungu mara kadhaa unaishia zako hawawezi maisha ya ndoa wanataka kuuza sura tu
Huyo ndio alikuwa presenter wa kiss FM ezden the rocker kama sikosei
Hivi wamjua Dida wamsikia!!! kama Ezdii angekaa kimya Dida angetake anAdvantage bora Ezdii kazungumza na tumemsikia na Ukweli umejulikana. Khalafu kuna haya Magume gume mengine Mawili Mange na Joyce yanaingilia Mambo wasoo yajua chanzo chake nakuanza kumchafua The Rocker kwenye Viblog vyao kwa kumwita Marioo marioo. Kwani huyo Dida na Ushankupe wake alimwona Ezdii mtaani maskani au Majukumuni. Sasa Umarioo watoka wapi hapo kama si Uzushi na Uzandiki.

Jamaa anavyoongea hadi anatia huruma.
Halafu sielewi kabisa kilichomvutia kwa huyo Dida.
Na sitashangaa miezi kadhaa toka sasa ukisikia Dida kafunga ndoa tena.
Sijui atakuwa Dida wa nani safari hii....manake mwanzoni alikuwa Dida wa Mchops....akaja kuwa Dida wa G.....akawa Dida wa Ezden......
Labda safari ijayo atakuwa Dida wa Mbeba maboksi:bump2:
Huyo ndiye the Rocker sii tulipenda mwita Ezdii. Hana makuu hata ukikaa nae vile azungumzavyo na zile fact azitoazo jamaa ni nowmer yuko Deep. Usione mpaka Masheitwani na Micharuko ya Dida kukubali Dida Ala.li.we na Ezdii ujue jamaa si mtu wa Kawaida.(Tafakari)
Hana lolote huyo Ezd angekuwa mtu makini/mwenye makuzi/akili asingeenda kuoa Dida (gumegume kama unavyomuita) angeoa mwanamke type yake. alifuata mtelemko Dida kampa jina mjini kang'aa kapendeza ndio analeta dharau ,yeye kama mstaarabu angenyamaza kimya kuropoka kwenye media anajionyesha ana akili fupi.
asanteeee....ukweli kabisa dida kampa jina edzen
Hana lolote huyo Ezd angekuwa mtu makini/mwenye makuzi/akili asingeenda kuoa Dida (gumegume kama unavyomuita) angeoa mwanamke type yake. alifuata mtelemko Dida kampa jina mjini kang'aa kapendeza ndio analeta dharau ,yeye kama mstaarabu angenyamaza kimya kuropoka kwenye media anajionyesha ana akili fupi.
Hebu msikilizeni huyu Ezden! Yaani anatia huruma kweli.
Anakiri mwenyewe kuwa Dida alikuwa anamzidi kipato....halafu eti baada ya kufunga ndoa akaenda kuishi nyumbani kwa Dida.
What a dummy!
Mtu kweli na akili zako timamu unaoa mwanamke kama Dida? Really? Seriously?
Mkuu ipo hivi!Si kila mwanamke ni wa kuoa, mwengine hata ukioa jua watu wataendelea kumuhudumia tu na kufanya shoo pia, ILA jamaa alichobugi ni kuolewa badala ya kuoa..Pole sana kwake natumai ataoa mwanamke wa kuolewa