Huyu naye alikuwa anawaza nini kumuoa Dida?


kha! we mwanamke una maneno kweikwei, nimecheka sana ndio maana nilikwambia mimi sina muda na viblog uchwara maana hapa ni full burudani.

jana umeniuliza mchuchu wangu what's happen kabla sijakujibu thread ikafungwa, hata hivyo kesho atakuwa ndani ya nyumba ya jf manshkhofu, alimuwa bize kunikarangizia.

ila maisha sijui kwa nini hayako fair, waowaji serious wanapata tabu sana kukutana na wadada ambo wako committed, na wadada pia hali kadhalika nao wanajikuta wameangukia kwa kina mr tombah tombah.
 
Hehe lets assume mie nakuoa wewe, niko na kwangu pia uko na kwako, hutaki kutoka kwako kuja tuishi kwangu..mie nijishushe nikuskilize wewe nije kwako, itakuwa sahihi kweli kuniita mvivu na unanilea?

hivi unajua ni kwa ini mwanume anaitwa kichwa? ni kwa sababu ni anatakiwa kuwa mmiliki... hivi umekuja kwangu nyumba yangu , kila kitu changu do u think unaweza kuwa nasay pale kwa maana hiyo wewe ni mkia... you have power because you have something
 
huyu kijana ni kichaa, nimeshindwa kusikiliza kwa aibu.
 

Aisee nimechekajee..???
 

siku hizi kuna wanaume na wakiume, mimi nilikuwa simjui huyo dogo ila nilivyojuwa tu ni yule anyehost kipindi pamoja na jokate kidoti yani hajiongezi tu akili kwamba waliowapanga vile ndio wanamatch?

mtu yoyote mwenye akili ni lazima ajiongeze kwamba anapaswa akiwa na mkewe awe na taswira kama akiwa na kidoti, hivi hawa vijana wana wazazi kweli? au mama zao ndio washiriki wa bibi bomba?
 

wanawazazi sema wanjifanyaga mapenzi nipofue .. wanajilipua tu
 

hahahahaaa! majanga na baba zao ni?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…