Huyu naye alikuwa anawaza nini kumuoa Dida?

Huyu naye alikuwa anawaza nini kumuoa Dida?

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Hebu msikilizeni huyu Ezden! Yaani anatia huruma kweli.

Anakiri mwenyewe kuwa Dida alikuwa anamzidi kipato....halafu eti baada ya kufunga ndoa akaenda kuishi nyumbani kwa Dida.

What a dummy!

Mtu kweli na akili zako timamu unaoa mwanamke kama Dida? Really? Seriously?

Last edited by a moderator:
Huyo uliyemuoa wewe unauhakika yupo sahihi kuliko Dida? Kwani tatizo hapo ni nini? Yeye hakuliona hilo tangu awali la kwenda kuishi kwa mwanamke? Kifupi inaonekana malengo yaliyompeleka kwa yule demu hayajatimia na ndio maana akazingua we inakuaje mtoto wakiume ulilie mali za mwanamke? Tutakupakata hapa mjini.
 
Jamaa aliingia cha kike bila kujua. Dem gume gume toka mimba inatungwa. Na jamaa anaonekaka alikua "Marioo" maana muda wote ni kulamba midomo.
 
Jamaa aliingia cha kike bila kujua. Dem gume gume toka mimba inatungwa. Na jamaa anaonekaka alikua "Marioo" maana muda wote ni kulamba midomo.

Jamaa anavyoongea hadi anatia huruma.

Halafu sielewi kabisa kilichomvutia kwa huyo Dida.

Na sitashangaa miezi kadhaa toka sasa ukisikia Dida kafunga ndoa tena.

Sijui atakuwa Dida wa nani safari hii....manake mwanzoni alikuwa Dida wa Mchops....akaja kuwa Dida wa G.....akawa Dida wa Ezden......

Labda safari ijayo atakuwa Dida wa Mbeba maboksi:bump2:
 
Huyu dogo Ezden ---- kweli!
Namjua tangu shinyanga pindi anasoma Uhuru secondary na Dulla Ambua!!
Anapenda sana vya bure huyu dogo,hata kiss fm mwanza alikua na demu mkubwa zaidi yake!
Lady Jay Dee alishaimba wanaume kama mabinti ndo huyu sasa kijana mwenzetu
 
Dogo alikuwa ameamua kujitoa mhanga, utaoaje makahaba yaliyokubuhu hapa mjini!
 
Kamrekodi akiwa anarap !
Enhennhenh siku hiz simu zina kazi nyiiiiiiiingi!
 
makahaba wawili hawawezi kuishi pamoja...
Huyu dogo Ezden ---- kweli!
Namjua tangu shinyanga pindi anasoma Uhuru secondary na Dulla Ambua!!
Anapenda sana vya bure huyu dogo,hata kiss fm mwanza alikua na demu mkubwa zaidi yake!
Lady Jay Dee alishaimba wanaume kama mabinti ndo huyu sasa kijana mwenzetu
 
haa haa labda kang'oa jimama lingine...ndoa za kuoa ili kuingia mwezi wa ramadhan ndio zinaishiaga hivi...
Nawaza ze whole idea ya kubeba talaka na kwenda kuhojiwa ikiwa mkpnoni!
Maskini nan sijui atampaka mapoudwwer
 
Vijana wa bajaj
Hakikisheni kweny kila nyumba ya star wa kike mnaweka kijiwe!
Anzieni kwa shilole.
Snura
Jide ah huyu hakuna biashara washavuka hii stage!

haa haaa hadi kwa jide? gadna ana gari yake bana....ila yule sijui nuhu mziwanda eti kajichora hadi tatoo isiyofutika.....kijinga kweli kile kwa mapenzi gani hapa mjini!!!!
 
Back
Top Bottom