Umemaliza kila kitu..Sasa ushauriwe nn?? Huyo anayekupa shariti la mimba ndio muoane .
Huoni ni muhuni tu ?? Huyo muhuni tu kama walivyo wengine.
Yaaaan ni Bora kama umeamua kuzaa tu naye basi, Sio akudanganyee kifalafala Ivo.
HANA MPANGO WA KUKUOA HUYO.
Kuumia kuko pale pale mahusiano ya siku hizi pasua kichwa wanawaka wanao taka ndoa wanahitaji wanaume wenye pesa na uwezo, wanaume wanao hitaji ndoa seriously ni masikini hawana mbele au nyuma......Mda mwngne mambo ya mahusiano kwa sasa ni bahati nasibu ,ukitumia akili sna utaweza kuharibu na ukitumia hisia sna utaaribu pia ,ila fanya maamuzi unayoona yanakupa amani.
Sasa faida ya kuchakatana ni nini kama hautazaa nae?
Kuumia kuko pale pale mahusiano ya siku hizi pasua kichwa wanawaka wanao taka ndoa wanahitaji wanaume wenye pesa na uwezo, wanaume wanao hitaji ndoa seriously ni masikini hawana mbele au nyuma......
Uzi ungepaswa kuwa njia za kuzuia mimba.
Maana mengine ulishajishauri.
Kama mpunga upo sio mhuni
Punguzeni nyege zenu mnatuzalilisha wanaumme, we kila unayo muona anamtamani ni ujinga huo na ilimbukeni.mimi binafisi natafuta wa ubavu njoo kwangu, mimi nakuoa kabisa utazaa ndani ya ndoa, njoo pm
Sasa kama Kakukula mwaka mzima unafikiri Kuna kitu atajutia hata asipokuoa?
Hata hilo suala la kukwambia akupige mimba kwanza ni kukutafutia sababu ya kukuacha tu
Maana Kuna wanawake hata uwatafutie kosa ili uwaache hupati kosa inafika hatua unamkosea wewe anakuomba msamaha yeye, kwahiyo kumuacha inahitaji mikakati ya kutokua na makubaliano Kama hii
Mamamzungu ,uzungu mwingi utaaribu mambo .Tutazaa ila kwa makubaliano sio yeye atake mimi nisitake
Mamamzungu ,uzungu mwingi utaaribu mambo .
Kumbe ndo ivo?? mbona kuna mabaharia wengi wana hela na wana makali, wanachakata mbussu balaa[emoji23]Shida sina hela [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Itabidi iwe hiv mwanaume maskini atafute mwanamke tajiri na mwanamke maskini atafute mwanaume tajiri ili kuleta usawa.Kuumia kuko pale pale mahusiano ya siku hizi pasua kichwa wanawaka wanao taka ndoa wanahitaji wanaume wenye pesa na uwezo, wanaume wanao hitaji ndoa seriously ni masikini hawana mbele au nyuma......
Kama yeye anazo pesa unashindwa vip kumpa masharti akupe mtaji kwanza then utakubali ombi lake ili na wewe ujitegemee ?Shida sina hela [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona si maharage ya mbeya 😂🤣😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume mna maneno mazuri kabla hamjtia mtu mimba kumbuka hapa ni suala la Mtoto sio maharage ya mbeya
Zaa kwa sababu unapenda watoto , ukizaa kwa sababu nyingne tofauti ,utarudi apa kuita wanaume wote ni mbwaa.
Sasa ushauriwe nn?? Huyo anayekupa shariti la mimba ndio muoane .
Huoni ni muhuni tu ?? Huyo muhuni tu kama walivyo wengine.
Yaaaan ni Bora kama umeamua kuzaa tu naye basi, Sio akudanganyee kifalafala Ivo.
HANA MPANGO WA KUKUOA HUYO.
Nataka bia Pepsi inaleta nzi.Kama haujafunga kunywa pepsi hapo kwa mangi nakuja kulipa
Kupitia jinsi anavoishiKwaiyo nitajuaje Kama huyu sio muhuni??? Watu wanabadilika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume mna maneno mazuri kabla hamjtia mtu mimba kumbuka hapa ni suala la Mtoto sio maharage ya mbeya